Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
We nawe tupishesingle mothers mungu awabariki popote mlipo hakika nyie ndio kimbilio letu sisi madomo zege
Nimemuona shemeji yangu. Ikabidi niulize.Jamanii una maswali
Shemeji yako naniNimemuona shemeji yangu. Ikabidi niulize.
ShunieShemeji yako nani
Binamu usikatishwe tamaa...yote maisha. Unaweza kuwa unampa malezi bora sana mwanao kuliko hao walio wawili.Binam asante kusema hayo lakini mimi wala huwa sijali kabisa nashangaa wanaoumiaga maana nikimuona mwanangu napata raha sana
Kuweni na mioyo migumu msitishwe na wanaume wenye masimango na wabinafsi,tena kama mwanaume hataki mwanao piga chini
Kweli kabisa mi wala huwa sitishiki kabisa na wala mtoto anakua vyema haumwi umwi kabisaBinamu usikatishwe tamaa...yote maisha. Unaweza kuwa unampa malezi bora sana mwanao kuliko hao walio wawili.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]ji iPhone GB 128 looh!hivi una mtu anakubebisha wewe sio single mother!!!Hajajiongeza mngekuwa single mom mngetoa ushuhuda mpate jiiphone
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]ji iPhone GB 128 looh!hivi una mtu anakubebisha wewe sio single mother!!!
na wewe ni miongoni mwao?We nawe tupishe
HaahahahahhaahahahahhUmepata wa kukutia mimba uweke rekodi ya mwanaume wa kwanza Afrika kubeba mimba?
Umenigaya binam sawa tuBinamu.....
Nimejua chanzo cha uzi wako wa leo [emoji23]Hivi single mother's nini mpk mtu ajihisi ni inferior?!!
Mbona ni vitu vya kawaida sana ktk maisha!!
Mimi niseme ukweli wangu sehemu pekee niliyoona single mothers wanadharaulika ni jf!!ila katka maisha ni vitu vidogo mnoo!na wanaolewa kama wengine tu!mifano ipo hai mingi tu!
Mungu ndo anajua mwenza wa mtu ktk haya maisha