Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani utafikiri hao masingo mazaz wamejizalisha wenyewe. Kumbe mijibaba iliyotundika hizo mimba na kusepa imo humu humu inaponda. Mfumo dume katika ubora wake !!!Kwa sababu wote humu tumezaa kwenye ndoa,hakuna ndugu wala jamaa ambae ni single mom,wanaume wa humu wote hakuna aliyetelekeza watoto,mimba wala mke yaani kifupi sisi wanajf ni spicishiz tofauti kabisa
Safi sana huyo lazima achukiwe na midume na wampondesingle mom kwa kutelekezwa,kubakwa,ujane,divorced,tatizo ni mentality iliyojengeka kwetu kuwa single mom ni janga la taifa,kuna mdada humu ni single mom aisee nkipata mda nitamwomba aandike kisha nitaileta watu wapate shamba darasa,kawapita mpaka vidume wanaowadiss single mom,she was just housegirl mpaka sasa anamiliki mali,kibao zinazoworth millions kama si billions
Hio ni list single parents ???Raynayero,shunnie,mamasabrina and co single mom ,naona leo mmepata pa kupumulia hatusemi lol
A real man will never shy away from his own family responsibilities unless otherwise there is a problem somewhere. IT'S THAT SIMPLE.
Yaani utafikiri hao masingo mazaz wamejizalisha wenyewe. Kumbe mijibaba iliyotundika hizo mimba na kusepa imo humu humu inaponda. Mfumo dume katika ubora wake !!!
Hio ni list single parents ???
Kaa ukijua duniani hata uwe mwema kama malaika watu hawataacha kukusema. Cha muhimu shika sheria za Mungu. Wanadamu waache wapambane na hali zao.Tusaidie Kuwaambia Wanaume Wenzako
acha tu,kaka shangaa nawe
nyie wanaume zetu humu ndo mtakaowabrand hivyo
Hakujui msamehe bure!!!Pole sana......
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]Raynayero,shunnie,mamasabrina and co single mom ,naona leo mmepata pa kupumulia hatusemi lol
Hapana sio single parent'sHio ni list single parents ???
Ni list ya nini rafiki ?Hapana sio single parent's
Muulize amuNi list ya nini rafiki ?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]
Ni list ya nini rafiki ?
Wenyewe kitendo cha kuzaa bila kuolewa ni single momWala sio single weye wapata huduma zote hizo!
Humu ukiwa umezaa hujaolewa ni single motherhivi kama umezaa na mtu ila anahudumia vizuri mwanae na wewe au mtoto tu(chukulia kaoa mwingine au hajaoa ila hamna mahusiano) wewe ni single mom?
kama umtag duketachez aje
Jamanii una maswaliHio ni list single parents ???
SawasawaList ya wadada maarufu humu waliochangia huu uzi
KumbeeeWenyewe kitendo cha kuzaa bila kuolewa ni single mom