A Special message to single mothers

Huku tu na unakuta na wenyewe wamezaliwa na single mom,wanaume wa jf hujiona kama malaika kumbe
Halafu sasa ukute makwao wapo,wamelelewa na single mother's, yaani tafrani
Inasikitisha sana yaan sijui kwa nn wanaona single mother hawatakiwi kuishi maisha flani huwa siwaelewi kabisa
 
Mkuu Lusungo bhana lakini ni Good thread
 
Ndoano ya kishamba sana. Cha ajabu wapo wasiojielewa watanaswa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sababu wote humu tumezaa kwenye ndoa,hakuna ndugu wala jamaa ambae ni single mom,wanaume wa humu wote hakuna aliyetelekeza watoto,mimba wala mke yaani kifupi sisi wanajf ni spicishiz tofauti kabisa
Na usikute wanaoponda single mom nao kuna watoto kadhaa wametelekeza tushkuru sana hizo I'd fake na avatar unaongea tu unachojisikia
 
Kwa sababu wote humu tumezaa kwenye ndoa,hakuna ndugu wala jamaa ambae ni single mom,wanaume wa humu wote hakuna aliyetelekeza watoto,mimba wala mke yaani kifupi sisi wanajf ni spicishiz tofauti kabisa
Wote humu tumetoka Mars sio duniani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wala hatuna madada waliokataliwa pia
 
hivi kama umezaa na mtu ila anahudumia vizuri mwanae na wewe au mtoto tu(chukulia kaoa mwingine au hajaoa ila hamna mahusiano) wewe ni single mom?
Halafu sasa ukute makwao wapo,wamelelewa na single mother's, yaani tafrani

kama umtag duketachez aje
Wote humu tumetoka Mars sio duniani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wala hatuna madada waliokataliwa pia
 
hivi kama umezaa na mtu ila anahudumia vizuri mwanae na wewe au mtoto tu(chukulia kaoa mwingine au hajaoa ila hamna mahusiano) wewe ni single mom?

kama umtag duketachez aje
Wala sio single weye wapata huduma zote hizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…