Hapana.kwa ujasiri wao huwezi kukataa kwamba humu ndani hakuna watu walielelewa na singo maza na wakakua hadi wanatuma thread humu sasa hivi.Muwape moyo au muwachambe?
Tunawapenda Single mothers ila kiukweli wengi wao wanashida. Mifano tunayo yaani kwenye kauli tu utajua she is hell of a problem no man can bear.
Hapana.kwa ujasiri wao huwezi kukataa kwamba humu ndani hakuna watu walielelewa na singo maza na wakakua hadi wanatuma thread humu sasa hivi.
Being single mother is a symbol of daring & courage!
hujadata na love wew ndio maana wasema ivyoBinam asante kusema hayo lakini mimi wala huwa sijali kabisa nashangaa wanaoumiaga maana nikimuona mwanangu napata raha sana
Kuweni na mioyo migumu msitishwe na wanaume wenye masimango na wabinafsi,tena kama mwanaume hataki mwanao piga chini
Yupo mbona unataka umuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ivi nikweli G yupo au upo kivuli?
This is my feedback ya PRIVATE yanatoka wapi tena mummy! We are talking about Single mothers here. And I am giving my experience out of JF (Here we rarely meet face to face so difficult to judge the unknown)>>>!Inategemea ntu na ntu,ila kwa wewe acha tu upewe hizo kauli,kuna uzi chitchat ukaenda kusema unavyotongoza pm (kiukweli nlishangaa sana ni kama vile mtaani umempa game mtu anakutangaza),unafikiri kuna mtu anaweza jisocialise nawewe?ya private yabaki private kuyaleta jukwaani ni ushamba na utoto tu
Sijawah aiseehujadata na love wew ndio maana wasema ivyo
Basi tu kuna siku niliunganisha dot dot ,nikapata jibu kua km vile kam vile hahahaha km vile unatuzengua sisi tu humu basi .[emoji23][emoji23]Yupo mbona unataka umuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa kuna singo maza wengi wameolewa lakini wakificha kwamba hawana watoto wala hawakuwahi kuzaa!hawa siwezi kuwalaum!kuna mdada fulani ana mtoto mkubwa tu na aliolewa na jamaa flani lakini akamtambulisha mtoto wake kuwa ni mdogo wake!maisha yanaendelea tu.vitoto vingine vimezaliwa vinaambiwa huyu ni anko wenu kumbe ni braza!maisha yanaenda.daahhh majanga jamaa aliempaga mimba akamkimbia si karudi anamtafuta mtoto wake.mtoto amekuwa mkubwa kajikaza kuficha siri lakini babaake anakuja kumtaka amchukue waende zao.Hapo Sawa,ila Hata ndoani single mom wapo sema tu tunang'ang'ana na status
Yupo sana tu sema sio maarufu na haingii sana humu yuko busy,utamjua tu vuta subiraBasi tu kuna siku niliunganisha dot dot ,nikapata jibu kua km vile kam vile hahahaha km vile unatuzengua sisi tu humu basi .[emoji23][emoji23]
Ingawa kuna singo maza wengi wameolewa lakini wakificha kwamba hawana watoto wala hawakuwahi kuzaa!hawa siwezi kuwalaum!kuna mdada fulani ana mtoto mkubwa tu na aliolewa na jamaa flani lakini akamtambulisha mtoto wake kuwa ni mdogo wake!maisha yanaendelea tu.vitoto vingine vimezaliwa vinaambiwa huyu ni anko wenu kumbe ni braza!maisha yanaenda.daahhh majanga jamaa aliempaga mimba akamkimbia si karudi anamtafuta mtoto wake.mtoto amekuwa mkubwa kajikaza kuficha siri lakini babaake anakuja kumtaka amchukue waende zao.
A real man will never shy away from his own family responsibilities unless otherwise there is a problem somewhere. IT'S THAT SIMPLE.Point Yangu ilikuwa umeolewa bila mtoto mkajaaliwa watoto ndoani ila sasa majukumu yote unayabeba wewe kifamilia mwanaume ana pesa ila hajali familia mnaishi kama majirani ,kutoka huwezi unakufa na tai shingoni unaona jamii haitakuelewa
Take five wala sina time acha waseme nikiamua nisiwe single hata Leo naweza ila once its done is done!!!!Binam asante kusema hayo lakini mimi wala huwa sijali kabisa nashangaa wanaoumiaga maana nikimuona mwanangu napata raha sana
Kuweni na mioyo migumu msitishwe na wanaume wenye masimango na wabinafsi,tena kama mwanaume hataki mwanao piga chini
Ingawa kuna singo maza wengi wameolewa lakini wakificha kwamba hawana watoto wala hawakuwahi kuzaa!hawa siwezi kuwalaum!kuna mdada fulani ana mtoto mkubwa tu na aliolewa na jamaa flani lakini akamtambulisha mtoto wake kuwa ni mdogo wake!maisha yanaendelea tu.vitoto vingine vimezaliwa vinaambiwa huyu ni anko wenu kumbe ni braza!maisha yanaenda.daahhh majanga jamaa aliempaga mimba akamkimbia si karudi anamtafuta mtoto wake.mtoto amekuwa mkubwa kajikaza kuficha siri lakini babaake anakuja kumtaka amchukue waende zao.
I said noooooooo!!!!Halafu kitu kimoja jamani,hata ndoani masingle mom wapo tena wengi tu sema tunafia ndoa na kuogopa kunyanyapaliwa
Upuuzi kuficha mwanao tena mnoooJamii adden,sisi wanawake ndo wa kwanza kuwasema kaka zetu au watoto wetu wasioe single moms,pia wasioe watoto wa single moms,
ILA PIA KUMFICHA MTOTO NA KUEKTI WEWE NI NDUGU NA SI MAMA NI UCHAWI WA HALI YA JUU UBINAFSI WA KIWANGO CHA JUU,MIMI NI MAMA ADEN KAMWE SIONI AIBU KUSEMA NI MAMA NA SIWEZI FICHA MWANANGU KWA SABABU YOYOTE
Ila kumbambikia mwanaume mtoto asiye wake ni nini hasa?😉Upuuzi kuficha mwanao tena mnooo