We cheka tuu maana huyo mchepuko wangu ni changamotooKwa siku ya leo ninyi ndio mmefanya nicheke sana kuliko kawaida.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa maneno hayo juu tumekwisha mwamini acha walioqualify waingie pm.Wape kabisa na picha ili waamini
Shikamoo kaka!awena wangu tatizo nini ??
ACHA uchawi tuwache tuchangamkie fursa hzo.......Watakutooooooom##a utarudi hapa unataka mtoto tu wanaume hutaki tena
mkaka mpaka 34years yuko single???
Tena unamuokotea humu?
Huyo ni kimeo pasua kichwa
mbona hivi jamaniShikamoo kaka!
na ww una 30 ah ushazeekaBe careful, i had one 34 but foolish and hopeless.
Iam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm
I am 28,
Naishi Dar.
Nimeajiriwa.

