ha ha,we unataka wamarekani weusi humu wanune,,Mkuu ebu tupe mawili,matatu juu ya taifa hili.
Niliwahi sikia kuwa huko mtu binafsi haruhusiwi kumiliki gari, hivyo barabara lazima ziwe empty.But iko empty kabisa
Hivi huyu mmarekani alifikaje hapo kwa adui wa nchi yake!? Sio Rodman huyo!?
Kwamba jinsia yake haijulikani!?mie mzima shikamoo broo/sister
Alisoma chuo kimoja na huyo raisHivi huyu mmarekani alifikaje hapo kwa adui wa nchi yake!? Sio Rodman huyo!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuwiangiza chakike wenzakoMkuu usinichukulie serious, nilikuwa nachombeza tu.
nipo Mogadishu mkuu.
EhAsilimia kubwa za barabara za North korea ni kubwa kwa upana huo ili waweze ku=mobilize vifaa vyao vya vita kirahisi endapo itatokea vita.
So assume ni high ways.
Vita ndio bata lenyewe kwao. Kila mtu na starehe yake.Hao jamaa muda wote wanawaza vita tu, hivi kuna bata kweli huko? stupid!
kule hawapigani ovyo,kuna amani sana,si unamuona hata rais hana hata bodyguard,na hapo ni uwanjani,rais hayuko hata jukwaa kuu yuko pembeni anapiga story na RoadmanVita ndio bata lenyewe kwao. Kila mtu na starehe yake.
MkuuHivi kuna wabongo wanaishi huko North Korea? Maana naona hiyo barabara inatisha inaonyesha ukiingia huko kama ukibahatika kurudi salama chinja mbuzi mia moja.
Mkuu huko si nasikia hakuna internet?Mkuu,
Mimi nipo hapa chagang province huu mwaka wa sita saa hivi.
Na asikwambie mtu,hakuna box tamu na lenye marupurupu kedekede kama box la north korea.
Yatakuwa ni ya Korea kusini.Magorofa yote hayo halafu wanasema nchi masikini?