A road in North Korea

Mkuu,
Mimi nipo hapa chagang province huu mwaka wa sita saa hivi.
Na asikwambie mtu,hakuna box tamu na lenye marupurupu kedekede kama box la north korea.
mkuu hongera sana
umefikaje kwenye box la huko?
vipi propaganda za kwamba ni marufuku kuvaa jeans
kunyoa pank wala kumiliki gari
na kingereza shida ni vipi?
 
Unaweza kulala barabarani masaa bila kuona gari jamaa wana allergy na vita
 
ivi ubalozi wa north korea tz upo, au upo nchi gani ya karibu!
Sijui siku hizi ubalozi uko wapi,
Miaka ya nyuma walikuwa na ubalozi na pia walikuwa na kituo cha utamaduni cha watu wa Korea, pale karibu na Umoja wa vijana, na tulipokuwa watoto na yale mambo ya Chipukizi na scout ndio tulikuwa tunaenda kuangalia "senema" za kipropaganda za kisocialist hapo kwenye hicho kituo chao cha utamaduni

Pia kulikuwa na chuo kizuri sana cha muziki pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…