A practical solution is needed ASAP

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Mode naomba msiitoe hii kama mtaona si mahala pake.
Hiki ni kisa cha kweli ninaomba msaada wa namna ya kudeal na hii ishu nikiwa kama mtu wa pembeni na si mwanafamilia. Rafiki yangu amenieleza yafutayo kuhusu baba anayemlawiti mtoto wake............

"Huyu mzee anamke wamezaa mtoto mmoja na kwa bahati mbaya wamesha achana kama miaka miwili iliyo pita..yule Mzee kabaki na Mtoto wake wa Kiume anamiaka 7 yupo Darasa la kwanza Shule Flani Tabata..toka muda yule Mzee anatembea na yule mtoto wake wa Kiume wa Miaka 7.kwa lugha rahisi ANAMLAWITI..au kwa lugha ya Kimtaani "ANAMF..RA"..huyu mtoto ni anatoka na haja KUBWA kila saa tena kwa Mfululizo na hawezi kujizuia kabisa yani..amekuwa akilia kila saa..Majirani wamekuwa wakishuhudia bila kuchukua hatua yeyote..natamani niwaweke ndani na wao pia..Baba mtu yupo na mama mtu yupo na anajua kitu Mumewe anacho kifanya kwa miaka yote sema anahela so wanayamaliza kifamilia. Rafiki yangu aliniomba ushauri ila naona ni vizuri kuwaletea na nyie mjaribu kutoa wazo.

Inaumiza sana sana nimeumia Moyo nikaona niwashirikishe mnishauri ni namna gani naweza msaidia huyu mtoto
 
Dah wanaume bwana ni laana sana kwenye hii dunia jamani mtoto wako siuchukue hata lichangudoa kweli inauma sana.
Nafikiri wakonyeze wanao husika na haki za wamama na watoto ustwi wa jamii dah so sad kesha mharibu mtoto.yani sijui hata katako ka hako katoto anakashikaje jamani!!!
 
Kwani mahakama hazipo?
welfare ya mtoto unaithamanisha ni pesa?? kazi kweli kweli!
 
Jamani ushauri gani tena zaidi ya kwenda kuripoti polisi? Ripoti likamatwe zee hilo haraka jamani na huyo mtoto akatibiwe hospitali na kisaikolojia sehemu stahiki.

Unazidi kupoteza muda kuomba ushauri tu, hatakiwi kuwa uraiani huyo mzee hadi sasa, karipoti haraka please apelekwe anakostahili wakamlawiti na yeye huko
 

Huyu mtu ana hela, na hivyo ni ile type ya mtu anaripotiwa leo kesho yuko barabarani anadunda, ndo maana nimeomba practical solution wapendwa na hili swala liwe chini ya mfaano shirika la mambo ya haki za watoto. Kama unajua hili tafadhali nipatie namba au anuani/mahali lilipo shirika husika
 
Nunua gazeti la Ijumaa chukua namba peleka khabari upate 300,000/= ya fastaaa and you will make the world a safer place! Tena fanya fasta watakuja kumpiga picha huyo mtoto, kushitaki polisi, na kulipiga picha na kulihoji hilo Firaji lenyewe!

Naomba mfanye fastaaaa kabla Mola hajawashushia kibiriti woteeee!

Huyo atakuwa anatimiza masharti ya Utajiri ya mganga! Inatakiwa alale na bintie so kwakuwa hana binti ndo hivo tenaaaaaaa!

Pesa zingine ZINANUKAAAA!!!!!!!!!!!!! Damu yake mwenyewe??????????
 

Nilikumisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Dah, ongeza ukubwa wa maandishi. Story hii imeniondolea uchangamfu niliokuwa nao, ila, fata ushauri wa lara 1.

Halafu ni pm anuani ya hapo wanapopatikana. Just pm me.
 
Dada mzuri ni kwa nini unakaa kimya? Ingekuwa ni mimi ungekuta sasa hivi hilo zee linanyea ndoo! Nenda hata ustawi wa jamii, tamwa, tngp, etc!
 
Kama stori yako ni ya ukweli na ni kweli unakerwa na hilo jambo kama ambvyo linaweza kumkera yeyote, basi weka FULL PHYSICAL ADDRESS hapa na jina la muhusika. Kama unapata kigugumizi cha kulifikisha suala hili panapohusika, basi ukiweka hizo details hapa, bila shaka suala litafika mahala pake ndani ya muda mfupi.

Mrembo By Nature, do it for the sake of the child. Chukua nafasi ya mama wa huyo mtoto....ungefanya nini?! Would you remain silence na kubaki kuumia moyoni bila kuchukua hatua?! I don't think so. Kikombe cha mateso alichonacho huyo mtoto ni wewe hivi sasa ndie umekishikilia; una uwezo wa kumwondolea mateso au kumwacha nayo!! Na kama unazani si busara kuweka hizo details hapa jamvini, you can PM me, hata kama sihusiki kwa namna yoyote na mambo kama hayo; nipo tayari kununua kesi! The most important thing is, UHAKIKA WA HABARI ZENYEWE!!
 

ni vizuri kuwapelekea taarifa Human Rights Center, au Sophia Simba anahusika hapa,kama kweli imekuuma naomba kimyakimya utoe taarifa kwa taasisi zinazohusika wenyewe wanajua uchunguzi wataufanya muda gani ww utabaki kuwa anonymous kama unahofia usalama wako na ukinyamaza itaendelea kuutafuna moyo wako,hiki kizazi ni cha nyoka jamani ubinadamu umetoweka kabisa unalawiti mtoto wako wa kuzaa:fear::fear:
Out of point;best font size ulotumia imenifanya nigongee miwani kwa jirani mzee Mtambuzi.
 

mbele ya Human Rights Activists sidhani kama kesho atadunda tena mpenzi hebu jaribu huko kama polisi anadunda basi huko HRC wataishughulikia kesi hadi hatua ya mwisho kule kuna majembe atadundwa tu.
 
dah mie ni mtenda dhambi, ila mwenzangu kiboko>

weka detail zake hapa mtoto anusurike
 
huyo mzee ni wa kuchomwa moto kabisa.ninawalaumu hao watu wanayaona hayo matukio na kunyamaza kimya,huku mtoto anazidi kuteseka.ki ukweli imeniuma,siku hizi kuna magazeti ya udaku,na hata kipindi cha heka heka,huyo mzee mjaa laana aumbuliwe.inabidi na yeye atafutiwe watu kabisa ageuzwe aone machungu yake.poor kid,mpaka haja kubwa zinamtoka jamani ni unyama gani huo
 

Nina wasiwasi si mtoto wake, mtoto wakeo huwezi kumfanya hivo unless huna akili vizuri, kama ni wake kweli muwahisheni polisi/hospitali mnaweza kudhani mnamuonea huruma kumbe kichaa kinazidi kupanda
 
kwa nini msiripoti legal and human rights center ama tanzania women lawyers association? google namba zao za simu ama watumie email.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…