.............. a powerful man on earth?

au mleta mada umevutiwa na huyo mwanamke hapo kwenye picha nini?
mbona picha za obama zipo nyingi? why this one
 
au mleta mada umevutiwa na huyo mwanamke hapo kwenye picha nini?
mbona picha za obama zipo nyingi? why this one
anatwa beyonce knowles and her husband shawn carter jay z jamaa walichangia hela nyingi sana
 
Yupi mmojawapo, maana wako wawil....Beyonce on blonde ambition
 
KIKUNGU mie nazidi kuzimia tu jamani clabu inanifanya nife presha nipe kwanza habari yaani nina hali mbaya sana. Twitwe ana nitotesha aisee.
 
Last edited by a moderator:
au mleta mada umevutiwa na huyo mwanamke hapo kwenye picha nini?
mbona picha za obama zipo nyingi? why this one

Smile,not really but isn,t she beautful though
 
hawa wanajuana sana, hasa kule kwenye vikao vyao vya freemasons....
 
Mama Blue Ivy, huo uzungu wa nini tena?
Mbona ww mmakonde tu.
 
Halafu jamaa ana Confidence anaongea na Raisi huku ameweka mikono mfukoni!

 
nimechukia saana heading yako ya 'POWERFUL MAN ON THE EARTH'...? If that aseme hawez kufa...human is nothing for the earth..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…