A poor beauty is likely to find more lovers than a husband

A poor beauty is likely to find more lovers than a husband

Mamzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,670
Reaction score
558
How true is this give it some percent?and there this other one the road to hell is lined up with good intentions,kindly comment and take note that the second proverb doesnt become a reality in your life,
 
Mmmmh...najumlisha moja na mbili hapa alafu nione...yumkini kuna kaukweli hapa mkuu!
 
Mkuu unaweza ukawa umeanzisha duka lako kwa nia njema lakini tra wakakuzonga ukaishia kutoa rushwa kila kukicha your good intentions zikafa,
 
Bado natafakari...kabla hujaamua kufanya jambo lolote lenye manufaa ni busara kufanya reseach...tuna mifano anuai ya walioasisi hizi stuffs..namna walivyofanikiwa/walivyoshindwa na means za kufata ama kukwepa walipokosea...by the way masikini hana option,hadi kumpata prince chubby ni must ku kiss fogs wengi...nawasilisha!
 
Hebu nifasirieni na mie nichangie, hizi chini ya mbuyu primary skuli zina mambo
 
Hebu nifasirieni na mie nichangie, hizi chini ya mbuyu primary skuli zina mambo

ngoja nijitahidi ya kwanza mrembo maskini ana uwezekano mkubwa wakupata wapenzi wengi lakini si mume, ya pili ni barabara ya kwenda kuzimu imepambwa na nia njema au ulitaka nielezee kwa kizungu zote mbili?
 
Back
Top Bottom