emmadizzo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,503 Reaction score 1,684 May 28, 2017 #21 Wote tukifa tunaoza
Jitu jeusi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,725 Reaction score 2,411 May 28, 2017 #22 Jbuyenze said: Click to expand... Mwisho wa siku, huto weza kumtambua dini, rangi, hali ya kiuchumi mtu yeyote ambaye aliishi hapa dunian nasasa amabakia mifupa Awe tajiri, maskini, dini zote.... wote watabaki mifupa Ndo nimeelewa hivyo
Jbuyenze said: Click to expand... Mwisho wa siku, huto weza kumtambua dini, rangi, hali ya kiuchumi mtu yeyote ambaye aliishi hapa dunian nasasa amabakia mifupa Awe tajiri, maskini, dini zote.... wote watabaki mifupa Ndo nimeelewa hivyo
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,181 May 28, 2017 #23 wote ni sawa but hiyo picha ukiitilia mkazo sana,itakudumaza usipige hatua kimaendeleo. Hata Yesu/mtume Muhammad walikua hivyo ila hatuwezi kusema walikua na sawa na wewe mkuu. Acha fikra mgando. kuwa na mtizamo chanya
wote ni sawa but hiyo picha ukiitilia mkazo sana,itakudumaza usipige hatua kimaendeleo. Hata Yesu/mtume Muhammad walikua hivyo ila hatuwezi kusema walikua na sawa na wewe mkuu. Acha fikra mgando. kuwa na mtizamo chanya
ben milazo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 995 Reaction score 678 May 28, 2017 #24 in nature we all the samee