MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Dec 6, 2010 #5 So whats the big issue, hamujawaona hawa wakina dada njiani, au mwajifanya hamjui juna watu ni ninja???
So whats the big issue, hamujawaona hawa wakina dada njiani, au mwajifanya hamjui juna watu ni ninja???
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Dec 1, 2010 5,712 10,209 Dec 6, 2010 #6 Duh... Mgawa vyeti anaweza kutoa kwa mtu asiye mwenyewe kwa mtaji huu
J Jibaba Bonge JF-Expert Member May 6, 2008 1,246 401 Dec 6, 2010 #7 Rutashubanyuma said: Click to expand... Yawezekana mtoto hamjui mama yake kwa sura!!! Just imagine taswira aliyonayo mtoto ya sura ya mama yake!
Rutashubanyuma said: Click to expand... Yawezekana mtoto hamjui mama yake kwa sura!!! Just imagine taswira aliyonayo mtoto ya sura ya mama yake!
Ab-Titchaz JF-Expert Member Jan 30, 2008 14,631 4,225 Dec 6, 2010 #8 MOMO said: Click to expand... Hahahahaha...hi lazima nitakusema tu!... made my day aisee!