A picture tells a thousands than words...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481

Kuna uhusiano gani kumpokea mgeni na kumkatikia...

Cheki njemba ya usalama mbele kampotezea kabisa mgeni; jicho liko kwenye viunu tu!
Wanawake kweli mkiwezeshwa mnaweza?!:ranger:
 
Hii kitu inanikera zaidi ya kero! Jk akienda US hata obama haendi airport. Huku watajipanga watu na kukatika viuno. What a waste!
Umeona eeh!
Halafu huyo mwenye black sijui kapatwa na mfadhaiko?
 
Bhoke mlimtukana kuwa Kakazwa kizembe maana angelimwaga Kiuno cha Nguvu ili Mataifa yahafahamu wanawake wa Tanzania ni kasheshe kitandani. Sasa hawa wakimwaga kiuno mnawasimanga tena. USA nani akatike, Wanawake wana viuno vigumu kama Jiti, kwa mfano PINK au Sarah Pallin. Wanajua kuwinda tu wanyama huku matumbo yao yamejaa kwa msosi na Frigi zinapasuka kwa misosi ila bado haitoshi.

Mabinti wa Tanzania mko juu sana. Nilishakutana na dada wa Cameroon akawasifu na kusema "anatamani angelizaliwa Tz".
Hii kitu inanikera zaidi ya kero! Jk akienda US hata obama haendi airport. Huku watajipanga watu na kukatika viuno. What a waste!
 
Muulize JiKe kwa nin ana wake nane, kama hatokwambia utamu wa kiuno tu. Hv ina maana Mama Smala hawezi kukatika, mpaka siaR anaamua kuoa vibinti 8! Teh teh!
 
Hiyo ni VIP wing ya Kigoma air port?
Kama vile wanatoka michenzani guest house.
 
Hiyo ni VIP wing ya Kigoma air port?
Kama vile wanatoka michenzani guest house.
Ndo maana nimesema picha inaongea mengi kuliko maandishi...
Kwanza hilo neno VIP, halijaandikwa na professional artist, mjengo wenyewe uchwala tu kama hiyo guest uliotaja!
 
Muulize JiKe kwa nin ana wake nane, kama hatokwambia utamu wa kiuno tu. Hv ina maana Mama Smala hawezi kukatika, mpaka siaR anaamua kuoa vibinti 8! Teh teh!

Haya mkuu uko noma
 

Akili za kinyamwezi ziko kiunoni. Haya imewakaa mbali watu nyie
 
Haya na binti wa cameroon alijulia wapi viuno vya kiswahili? Ama alikatikiwa na mkaka wa kiswahili?

issue ya bhoke hapo umenichanganya. Lawama yangu kwake ni kuwa laid na a tota stranger, without protection on a tv all over africa! Bhaaas! Kiuno kina mahali pake!
 
Mauno ni sehemu ya vigezo vya pekee kupata nafasi ya viti maalumu ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Acha kutusimanga kwa kuwa wawazi. Wengine mnajifanya hamsemi ila mnapenda chini nyie watu/

MAKABILA kama Wahaya na Wachaga, mhhhhh...... Wamakonde hadi wamefanya Umalaya Mtwara hakuna....
Akili za kinyamwezi ziko kiunoni. Haya imewakaa mbali watu nyie
 
Alisema kuwa "Mabinti wa East Africa ni WAZURI SANA" na anatamani angelizaliwa Tz kwa mfano.

Uzuri si unauona jamani, huhitaji umpekue mtu hadi ndani ili kuuona uzuri wake, na kweli nyie wazuri bana.

Kuhusu Bhoke, wewe uko sawa ila mie nasema juu ya Vijana waliomshambulia, kisa hakumwaga kiuno na kuonyesha ufundi wa hali ya juu. Kuwa hawakutumia kinga, hata mie nalikubali. Mambo ni SKYN kwa sasa .......


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…