A nice love story...do you think couples like this one still exist?

A nice love story...do you think couples like this one still exist?

Mapenzi ni kutoa zaidi kuliko kupokea...
 
hapo ndio mkae mkijua ,mapenzi na hela lazima vilandane, we unafikiri huyo dada mpaka akachukua huo uamuzi moyoni mwake lazima atakuwa na gubu la hasira halafu tunakimbilia kusema ni true love.

Umenena vyema shem...! Cc: Himidini
 
Last edited by a moderator:
^^
Mentor asikuhadae Lady doctor
Penzi ni penzi na Pesa ni pesa..mwanamke anaetanguliza pesa kupima upendo wako ni nyoka anaesubiri ubatizo
^^

aaaaah......... Himidini, yamekuwa hayo tena jamani!!!!! Pesa bana hunogesha mapenzi na huongeza furaha katika mahusiano...! Isome hiyo story vizuri ndipo utajua utamu wa pesa kwenye mapenzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom