usithubutu kukutwa...hii ni kanya boya...hiyo wamekopi swedish website inayofanya mambo kama hayo wakaibadilisha lugha....hii website iko USA chini ya kampuni ijulikanayo..Naval Ocean Systems Center, ambayo pia unashughulika na language research..another changa la macho!!.ikisajili tuu umeliwa.......nigerian style wanakuja kivingine. Haibiwi mtu hapa,kwanza angalia mtoa mada amejiunga lini na akaja na hiyo thread ya bure sms.....ikifanya traceip 195.74.38.18 ndo utaelewa nazungumzia nini....hatutataki sms za bureeeeeeeee.JF members wote kuwa makini na wizi huu wa kimataifa. ukiweka simu yako wanaipata na hiyo ni rahisi hata kukupigia simu wakijifanya wanabonge ya dili...ukizingatia majina yako yote umeshaweka emails, passwords na details zingine muhimu.