A new favorable post for Harrison Mwakyembe!

A new favorable post for Harrison Mwakyembe!

Mtaongea sana lakini wapi?
Labda niwakumbushe siri na ukweli muujuao, ni hivi:
Watanzania wanataka rais hendisamu na awe ana cheka cheka, rais ambaye ilani ya chama chake haitekelezeki na hivyo anakuwa flexible na kuanza kutekeleza za vyama vingine.
Wanahitaji rais mwenye dhamira ya kuwa na mtoto kila mkoa na hivyo kuwa 'baba wa taifa' kweli.
Hao wakina Dr. Mwakyembe wenu huko huko, wenyewe wanataka rais mwenye mfumo wa maishi ya kibongo flava na kibongo movie.
 
huyu mzee si ndo yule alosemaga tanzania haiendeshwi kwa mawazo ya jamii forums??
 
huyu mzee si ndo yule alosemaga tanzania haiendeshwi kwa mawazo ya jamii forums??

Kwahiyo hilo nalo linamuondolea uhalali wa kuwa kiongozi wa kuigwa? Ikiwa tupo mbele kukosoa wenzetu tusipatwe na kihoro pale tunapokosolewa! Ukweli uko pale pale kwamba JF ya miaka ya nyuma sio hii ya sasa!! Inawezekana hii inatokana na ukweli kwamba zamani ni watu wachache sana walikuwa na access na kompyuta achilia mbali hiyo Internet! So, wengi wa watu ambao walikuwa na access na hivyo vitu walikuwa ni watu wazima, waliosoma wakaelimika ambao kwa kawaida wanakuwa na busara! Lakini leo, wengi wetu tuna access na internet, wht you need is just typing ability no matter how slow u're! Kutokana na hilo, unakuta hata wabwia unga, wenye stress za maisha, na watu wa kila aina....nao wana access na JF! Matokeo yake, michango mingi inakuwa ya hovyo hovyo ambayo ikiambatana na matusi! Wengi tunazani kuonesha jazba na hasira za waziwazi ndio unachukia yale yanayotokea nchi hii....huu ni ujuha!
 
ccm wasipompitisha yeye au mtu wa aina yake kugombea watapoteza urais. wasipoupoteza urais basi watakuwa wameamua nchi ipoteze miaka 5 au 10. watakuwa watakuwa wameamua kutu-lostisha

Kiukweli kabisa, sizani kama CCM anaweza kupitishwa kwa nafasi kama hiyo!
 
Back
Top Bottom