Kuna mwingine kaumia macho? hiyo red na blur duh! txt inavomove faster kuconcentrate dakika moja imekua mziki...
Kinetic typography nimeona wabongo wengi tu wamefanya miaka na miaka before japo sio za wimbo...
Ya kwanza ya mziki youtube toka tanzania. Lakini hata ktk speech pia, hiyo ya nyerere ni kwanza pia kuwepo Youtube toka Tanzania.Ye anajiitaga wa Kwanza, usimpinge