Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,334
- 3,015
mbumbumbu ..... yakoMada wanazo penda mbumbumbu
mbumbumbu ..... yakoMada wanazo penda mbumbumbu
Sawa 🍑 yangumbumbumbu ..... yako
alaf acha kudharau watu usio wajua hatufahamiani humu nyoko gwe lepandwike komaso leketeMada wanazo penda mbumbumbu
Ilikuwa kwa Chama maneno hayohayo.Uwezi pambanisha Ferrari na Bajaji katika lami.
Ili Mpanzu afananishwe na Pacome aje Yanga tuone atapata namba au atacheza Full back
Mmekwa na genz wapi na wapiPiga kura yako hapa tujue kati ya Mpanzu na pacome nani anajua mpira kuliko mwenzake.
A:Mpanzu
B: Pacome
NB: USHABIKI TUWEKE PEMBENI TUANGALIE UWEZO
Hiyo Alahly ilifungwa na kijana mdogo sana Luis Miquissone Pale kwa Mkapa miongoni mwa goli, ambalo lipo kwenye historia ya magoli Bora kabisa! Hilo la Pacome ulikuwa papatu papatu akabahatisha tu!!!nan asiyejua uwezo wa pacome mchezaji pekee aliye ifunga al ahly mpaka inachukua ubingwa
al ahly alifungwa gori mojaHiyo Alahly ilifungwa na kijana mdogo sana Luis Miquissone Pale kwa Mkapa miongoni mwa goli, ambalo lipo kwenye historia ya magoli Bora kabisa! Hilo la Pacome ulikuwa papatu papatu akabahatisha tu!!!
Sawaal ahly alifungwa gori moja
Uzi umemalizikia hapa, Jamaa kamaliza kila kitu kwa uchambuzi kabisa.Hii ni ngumu kumesa ...
left winger
mpanzu ni bora zaidi..
namba 10
sijui sababu sijamuona mpanzu akicheza 10,
hapa pacome ni bora zaidi
Right wing
Inategemea akiwa inverted basi pacome ni bora ikiwa winger kabisa mpanzu ni bora.
As centre midfielder
Pacome bora mpanzu sijamuona akicheza na aina yake ya mpira hawezi kuwa namba 8.
Kwa type ya mpira wao.
Mpanzu ni winger na 10 anaweza cheza.
Pacome ni versatile zaidi anacheza wimger zote,10 mpaka 8 za aina zote box to box midfielder na nyinginezo.
Football iq naona
Pacome ni bora zaidi.
Matumizi ya miguu yote mpanzu ni bora zaidi.
Ikiwa hakuna budi nitamchagua Pacome, na moja kati ya wachezaji nawahusudu sana, huwa naenjoy kumtizama, nikimtizama kama najiona mimi vile kabla magoti hayajaharibika.
Viongozi wa simba walileta usenge pale kutaka kuwatapeli mawakala kiasi wakawakosa pacome na wenzie ila saa hizi una pacome 10 kisha una mpanzu 11 *****, ni hatari.
Labda tumkate kwanza Pacome kichwa ili na yeye awe anakimbia kimbia tu hovyo iwanjani, ndiyo tuje kuwalinganisha sasa.Piga kura yako hapa tujue kati ya Mpanzu na pacome nani anajua mpira kuliko mwenzake.
A:Mpanzu
B: Pacome
NB: USHABIKI TUWEKE PEMBENI TUANGALIE UWEZO
Nzingeli ni takatakaAcha UJINGA wa kumlinganisha Pacome na ujinga ujinga. Huyo Mpanzu hamfikii hata Max Nzengeli