A Million Dollar Question...

Wewe ni miongoni mwa waliolaghaiwa. Ila wewe hujashiriki katika kutegea viongozi sumu, ila subiri rafiki zako watakapoanza kutajwa mmoja mmoja. Hawawezi kukushirikisha kwa sababu hawakuamini...
tena hawamuamini kwa sababu ya dini yake!
 
Usitutoe kwenye mikakati yetu ya kumchunguza R1 aliyemkebehi Kibanda kwenye Facebook halafu alivyo na akili ndogo kama za babake anadanganya eti account yake ilitekwa
 
wenzako mambo mengi hawakushirikishi,hawakuamini tatizo ni dini yako!

Usitutoe kwenye mikakati yetu ya kumchunguza R1 aliyemkebehi Kibanda kwenye Facebook halafu alivyo na akili ndogo kama za babake anadanganya eti account yake ilitekwa
 
Narudia kusema ni nitazidi kusema.
Mtu mwenye Taahira ya akili tu ndo anaweza kupoteza muda kufikiria issue Nyepesi Kama hii.

Unasema hii ishu ni nyepesi wakati ishu hii imehatarisha maisha ya binadamu mpaka kiongozi akaahidi kuangamizi mpaka panya wote katika nyumba ya mhusika.

Matumizi ya sumu ya kudhuru binaadamu kwenye siasa ni jambo jepesi only to an oligophrenic.
 
Unasema hii ishu ni nyepesi wakati ishu hii imehatarisha maisha ya binadamu mpaka kiongozi akaahidi kuangamizi mpaka panya wote katika nyumba ya mhusika.

Matumizi ya sumu ya kudhuru binaadamu kwenye siasa ni jambo jepesi only to an oligophrenic.

Usitutoe kwenye mikakati yetu ya kumchunguza R1 aliyemkebehi Kibanda kwenye Facebook halafu alivyo na akili ndogo kama za babake anadanganya eti account yake ilitekwa
 
damu ya chacha haita waacha kimya wauaji hawa funga majambazi hawa na vidole vyao juu
 
Naona akili yako imekataa kabisa kukubali kuwa Lwakatare ni mtu hatari kwa taifa.
 
Hii video ime rekodiwa na jamaa wa cdm, Huu mchezo wamechezeana wenyewe. Ben Sanane Ameenda na maji.
 
Ningeshangaa usinge tumia sera yenu iliyo shindwa! Mnaligawa taifa letu kwa upumbavu wenu!

Usikubali kushikia akili na Dr Slaa, Mungu amekupa kichwa siyo kufugia nyweli ni kwa ajili ya kufikiria.

Chadema ndiyo wamewagawa Watanzania unaogopa kusema utafukuzwa chama au utaitwa masalia.

Saizi kuna Chadema Kusini.

Kuna Chadema Mashariki.

Kuna Chadema Magharibi.

Kuna Chadema Kaskazini hawa ndiyo wenye chama.

Huku siyo kuwagawa Watanzania.
 
Tanzania imegawanywa katika Kanda mbalimbali na Taasisi za Umma ili kurahisisha Usimamizi na Utekelezaji wa mipango yao. Je huu ni Ukanda? Hii ina maana ndio kuigawa nchi? Mbona tuna Mikoa na tunazidi kuongeza mikoa zaidi? Mbona tuna wilaya nyingi na tunazidi kuongeza wilaya nyingi zaidi? Hii ina maana ndio kuigawa nchi? Think Twice.
 
Hili shitaka la sumu limeingizwaje au DAWA YA USINGIZI imekuwa sumu? Tena Lwakatare amesisitiza kabisa kwamba hiyo dawa ni zile zinazotumiwa na "malaya" na huwa fahamu zinarudi baada ya masaa 3. Asiteswe wala kuuliwa lest there will be public sympathy
 
Hii video ime rekodiwa na jamaa wa cdm, Huu mchezo wamechezeana wenyewe. Ben Sanane Ameenda na maji.

ben saanane .hana kazi na anatafuta short cut ndan ya cdm atajuta kutafuta maisha kirahiri aue apate maisha
 
Hiyo unaweza kuifungulia thread nyingine.
Hapa tunajadili chama kinachotumia sumu kudhuru watu.

Kama lengo ni kuhabarisha matukio ya kigaidi ili Jeshi la polisi na Serikali lichukue hatua nadhani yote haya ni muhimu kuwepo hapa. Hii ni Serikali ya CCM ambayo inatuhumiwa. Nasubiri Jeshi la Polisi lije kuchukua ushahidi huu.
 
Wewe nae ni limbukeni tu, mbona suala la sumu limetajwa kwenye video clip hiyo hiyo? Yaani maana yake una post kitu ambacho hata haujakithibitisha au haujakisoma na kukisikiliza kwa kina. Tafuta ile video clip urudie kuisikiliza kwa makini. Ushabiki mwingine mbaya sana, najua mmefurahi sana ccm kwa sababu mnahisi kuwa hii single itahit sana, lakini ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka....jitahidini sana, maana hii ndiyo karata yenu ya mwisho, lakini nawahakikishia, mwisho mtashindwa kwa sababu hakuna muanzisha vita vya uonezi ambaye huwa anashinda vita hiyo, tutawashinda tu, no matter how long will it take!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…