A Man from year 2256.. Time travel

Huyu jamaa ndie yule jesuits aliyetumwa na father Andrew White (rejea kwenye jina la White House) kuhakikisha mkataba wa American indepence unasainiwa alafu akatoweka
So far hakuna aliyewahi muona John Titor, huyo mjesuits na masuala ya illuminati mi siyajui mkuu!..
 
Hizi nadharia kwa kweli ukiwaza kwa kina ni kitu kisicho wezekana.

Nitolee mfano, tupo kundi moja tunasafiri kutoka dar es laam kwenda morogoro.
Tulopofika chalinze nikapata chombo kinachosafiri kwa speed zaidi, nikakitumia kufika morogoro dakika moja baadae, nikawaacha wenzangu wakija kawaida .
Kule morogoro nikafanya shughuli nyingi nyingi labda kwa saa moja kisha nikawarudia wale kwa jinsi nilivyoenda. Nitawahadithia yaliopo morogoro chakula kilichopikwa tutakapo lala tatakaojumuika nao nk nk.


Sasa kule morogoro nilikoenda kwa haraka zaidi ya wenzangu nimekuta shuguli zinaendelea na watu wapo kwa kua wote tupo dunia moja.

Na hata kama ningetumia chombo kile kurudi dar tulipotoka kuanzia pale chalinze,kule dar ningekuta shughuli zinaendelelea kwa kule tumeacha watu. Hata ningewarudia wale ndugu ningewaambia yaliotokea dar ambayo wao hawakuyaona maama hawakuwepo.



Lakini kuniambia nirudi 1990 kwa njia yoyote kule sita kuta mtu maana hakuna aliebakia huko, kuniambia niende 2020 huko haja fik mtu bado bado.

Wote tupo leo hakuna aliebaki jana wala hakuna aliefika kesho.

Kesho haina shuguli maana hakuna aliepo.

Jana haina shuguli kwani hakuna alie bakia jana.

Tukumbuke sisi tunaongozwa na mzunguko wa dunia kwa jua, unaotupa usiku na mchana. Labda kama kungekua na uwezekano wa kusimisha huo mzunguko au kuuongeza speed.

Ni mawazo yangu tuu lakini.
 
Mi nitawaangalia wazazi wangu walivyokuwa wakipendana mpaka kutuleta sie duniani. Mungu awalinde wazazi wangu daima.
 
Jay Z is a time traveller
 
I personally am a Time Traveller...But i do this through imagination
 
Haya mambo ukiyafata sana unaweza jikuta tayari ushakua mchawi


Sasa kama ukienda huko future utawakuta wa kina nani wakati wote tupo leo au ukienda huko past utawakuta wakina nani wakati wote tuko Leo Pendael24 nakubaliana na ww mkuu
 
What if nikikwambia hiyo ni mada inayowaumiza watu vichwa kila siku lakini INAWEZEKANA KURUDI TO THE PAST NA KUMUUA BABU YAKO NA WEWE UKAENDELEA KUEXIST!! kasome/google GRANDFATHER PARADOX.
Unamuua vipi wakati kashakufa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…