Fredd benghalensis
Member
- Mar 11, 2017
- 11
- 16
Habari wana JF natarajia kujiunga form 5 mwaka huu, na nnfependa kujua topic za paper one na paper two za geography na history... Msaada kwa anaejua.
Na History vipi mkuuGeog 1
Materials of the earth crust
Soil
Geomorphology
River
Climatology
Nk nyingine nimesahau kama topic nne
Geog 2
Agriculture
Population
Fishing
Tourism
Miming
Transport and communication
Industrial
Na vitu kama hvy vingne nimeacha utajiongeza
AhsanteeKwenye practical geog one kuna topic Kama
Map
Photography
Statistics
Survey
Research
Mi nilisoma PGM, subir waliosoma masomo ya sanaa wajeNa History vipi mkuu