A level selection vipi? Mbona kimya?

Wanataka wazitoe mwezi wa sita ili watu waanze kukimbizana na maandalizi, yaani tamisemi wako kimya kama hii issue haiwahusu
 
Selection hazijachelewa sema wewe huu Mwaka ndo unakuhusu (una mtoto/ndugu) anaye enda form five.
Mwaka huu yamechelewa tofauti na inavyokuwa miaka yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…