Unanikumbusha mbali kidogo wakat nakomaaa na bs na fundamental nkaambulia c,kwa ile pepa ilivokua wazi nlisema ngegonga A kali lakin wapiRout #1 Advance PCB
Rout #2 Clinical officer
Aisee asikuambie mtu rout no 2 ni fupi na nismooth kufika destination yako.
Rout no 1 ni ndefu na inamabonde na miinuko mingi muno, usitishwe na ufaulu wa olevel biology ya advance haitabiliki. Ni nyepesi kuisoma na kuilewa lakin sio kuijibia mitihani na hakuna kitu kupya utakachokisoma ambacho hujakisoma olevel.