A letter to my future lover

Thatdumbgirl
Nimeufurahia sana uzi wako lakini pia akili yako.
Unadhani ni kwa nini mwanadam anaweka vigezo kwenye mambo tofauti tofauti yamuhusuyo moja ni hili la mahusiano kama ulivyofanya wewe?
Unafikiri ni kwa nini unahitaji mtu kwenye vigezo vingi hivyo??
Kuna ombwe kubwa sana unataka mtu alijaze kwa yeye kuwa amejaa kwanza?
Je unafikiri utu wako unakamilishwa na mtu/ vitu vingine, namaanisha hutimii wewe mpaka vitimie au watimie watu wengine kwanza?
Mwanadamu hakamilishwi na vitu au watu waliomzunguka kwa maana ni nafsi kamili iliyokamilika.Hivyo ulivyo uko poa huhitaji mtu mwingine kukukamilisha.
NB sijasema usiwe na vigezo i
 
Hapana
Sio kwa nini unahitaji partner, swali ni kwa nini awe na hivyo vigezo vingi hivyo?
 
Thank you for honesty sis, i know majority could love to read sugarcoated lie, hypocrisy and pretense.

But you said things in black and white crystals
no gray shades.

All the best, hope you meet Mr. Right
 
Thank you so much
Thank you for honesty sis, i know majority could love to read sugarcoated lie, hypocrisy and pretense.

But you said things in black and white crystals
no gray shades.

All the best, hope you meet Mr. Right
 
Hapana
Sio kwa nini unahitaji partner, swali ni kwa nini awe na hivyo vigezo vingi hivyo?
Mkuu ameshasema yeye ni dumb girl usimuulize swali moja mara mbili, haelewi kazoea kwenda OP
 
Maisha ni tofauti na vile unavyofikiria hasa kwenye suala la mapenzi ndiyo maana hakuna mahakama ya mapenzi. Ukiona mtu anatafuta mapenzi mpaka anajitangaza kwenye mitandao huyo ameshindwa mapenzi sababu mapenzi hutokea yenyewe kwa mtoto wa kike sababu yeye ndiye anatafutwa na kutongozwa. Anachokifanya hapa anajipiga mnada na mwanamke mzuri hugombaniwa. Hapo alipo ni bikira? kama siyo bikira aliyemtoa yupo wapi?, aliyekutana naye baada ya bikira kutolewa yupo wapi? Hili la Kutolewa bikira, anaweza asione siyo issue lakini maanguko huanzia hapa kwasababu alipaswa mumeo wa ndoa ndiye angemtoa bikira. Mpaka kufika hapa ujue kwashindwa huko mtaani, na sasa amekuja kwenye ulimwengu wa KUBAHATISHA. Angekuwa hajashindwa angekuwa na mchumba tayari. Tatizo hawa dada zetu vigezo vingi kama tangazo la ajira. Kadri unavyozidi kulala na wanawaume wengi ndivyo na thamani yake inazidi kupungua. Anaweza kukutana naye lakini ukumbuke na yeye atakuwa na vigezo vyake. Je, na yeye atakuwa amekidhi vigezo vya huyu anayemtaka? mwisho wa siku kila mtu anashika 50 zake. MAPENZI YAACHE KAMA YALIVYO, UNAWEZA KUJIKUTA UNATAFUTA MTOTO ULEE MWENYEWE
MAPENZI NI ZAIDI YA VILE UFIKIRIAVYO. UNATAKA HIKI KINAKUJA KILE AMBACHO HUKITAKI. KWENYE MAPENZI USITAFUTE MTU ALIYEKAMILIKA KAMA UNAVYOWAZA SABABU UNAWEZA UKAKUTA HAKIPO. UKIMPATA MTU ANAVIGEZO VIGEZO 2 KATI YA 10. BEBA HAYO MENGINE UTAYATENGENEZA BAADAE.
 
Utatafuta kama mimi ila hutofanikiwa, humu wapo sexmaniac tu ila si waoaji.
Mapenzi ni zaidi ya vile tunavyofikiria. Mapenzi yaachwe yaitwe mapenzi ndiyo maana hakuna mahakama ya mapenzi. Hata wanaojiita washauri wa mapenzi nao wanalia. Wanaojiita makungwi wa mapenzi utakuta nao wanalia na hawana waume.
 
punguza hasira, ukijaribu kumpangia kila mtu maisha yake utaishia kufa na presha. Take a chill pill, lol.
 
That post took a lot of preparation. Gotta give it to you. But one thing, if you are demanding all that, then you gotta have same qualities because no man with qualities that you want is gonna settle for less, you want a Well behaved man, you gotta be behaved, a Clean guy, you gotta be clean too,

You get my point?
 
I understand.
 
You sound amazing but I'm not interested with black girl.
 
KIZURI CHA JIUZA, KIBAYA CHA JITEMBEZA.
Sawa professor wa mapenzi.
Ila sijui what's your point exactly? Maana the body is mine, decisions are mine, happiness is mine. I do things for me baby, not here to please or satisfy anyone especially you.
 
Huyu akifikisha 28 au 30yrs. Unagonga vizuri sana wala usiwaze maana wanakuwa wanastress sana kwasbb yakukosa watu wanaowataka na akiangalia umri unakwenda. 23yrs bado sana, bado binti mbichi na ni haki yake aringe.
Pole sana kama umri una determine standard zako. Cheap is cheap no matter what age.

Kwanza una stress. And believe me you're failing miserably trying to make me feel like a failure, which you are.

Endelea kubully watu in social media so as to make yourself feel better. Utafanyaje sasa?
Mtu mwenyewe maisha yako yanarevolve around sex,nothing else in that head.
 
Niendelee kuwa single kwa vigezo vya huyu Dada salute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…