A letter to my future lover

Wow! One in a million!. Every one has his/her own standards when it comes to decisions that impact our lives. I like the confidence in you, how realistic you are and the energy you posses whilst standing for your preferences.

I'm sure the right men, who meet your qualifications are now queued PM, with their impeccable proposals.

All the best in your search.
 
Asante sana Emery[emoji171]
 
Usikate Tamaa... Hapa Duniani ni watu wa aina mbili tu ambao watakuambia "Huwezi".

1-Waliowahi kujaribu kisha wakashindwa !!

2-Wanaohofia ukijaribu utafanikiwa.


Hawa wa aina hii, ni vzur ukajifunza kwao matokeo ya kile unachokifanya !!...


Mie nmekubali unavyojiamini na kujikubali na unaonyesha unafanya matumizi sahihi ya ubongo wako na kwamba maisha yako ni binafsi na huruhusu mtu kuyaingilia, kimtizamo na kimaana!! ...na hii ndio tafasiri sahihi ya "Mwanadamu Huru"

Ni ktk 23 tu, lkn unamawazo makubwa ambayo yanakusaidia uitizame Dunia ktk nyanja tofauti na changamoto zake .... awali nalitegemea kwa umri wako utakua nalugha za matusi n.k !!!.

Lkn maajabu, unashuka na watu polepole ,huku ukiendelea kuwaonyesha sehemu ya Pili ya Dunia ilivo kwa 23 yrs ,

Sometimes it feels Great, Safe and Calm to love such a Decided Girl , Determined Woman and Practical Lady like you , You are so intelligent that means ,there must be a Good reason for you to defend your point of view !!

Nothing more, but I think you are Beautiful, sexiest, hottest and attractive by Nature!!!.
 
Aww...that positivity brought tears to my eyes[emoji847] Asante sana Vladimir[emoji171].
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Vigezo ninavyo ila na mimi nina kigezo kimoja tu uwe BIKRA
 
Msichana wa kazi wa kwa diwani[emoji28][emoji28][emoji28]haukosoma btn lines
Aisee. Mi nijua kaopoa mtoto wa diwani kumbe ni msichana wa kazi kwa Diwani. Kumbe ndo maana hapa kaona kabisa hachomoki kabla hata hajajaribu bahati yake.
 
Umezoea wadada wa kazi?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sina hiyo CV mi kazi yangu ni mchomaji wa kiepe na ngeri wapi na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…