A letter to my future lover

Asante kwa kunielewa
 
Can't date my classmates, I also try to go to dates with some men...but some are so full of themselves, others are too childish. I'm trying though. But sitaki kuwa na just anyone, I'll wait.
 
Ki white si mchezo.
Google trensileti ndio mpango mzima.
hiyo hiyo google uliyosema uliiomba translation ya side chick kwa kiswahili ikakuambia ni vifaranga vya pembeni??
sina imani nayo kabisa!!
 
Nimejibu kulingana na upumbavu wake, mnajikutaga sana nyuma ya Keybord !!

Ukicheki kanikosea yeye maana nilikomnti mawazo yangu kwa post ya mwingine yeye inamhusu nini??..

Watu wengine mkoje mazoea sitaki.
We ndo uache mazoea, mwanaume gani wewe?
Huna kazi ya maana ya kufanya zaidi ya kuharass women in social media. Unadhani kuna mtu anataka kushindana na wewe kutukana?
I'd like to let you know you are in a wrong platform, we can't be dragged down to your level of stupidity.
Funny, nobody said they want you
unakuja hapa na kiherehere sijui siwezi kukupata, relax nigga.
Una mdomo mchafu sana, jirekebishe.
 
Duuh ni binadamu huyu huyu ndio anapembuliwa namna hii?? Kweli zama zimebadilika.
 
Haha wewe Jesse Ventura vs trump is my dream ticket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…