A letter to my future lover

Actually anaenjoy Ku harass wanawake. Sijui anadhani ntajifungia chumbani nianze kulia[emoji28]. Ana stress sana, na itakuwa alikuwa traumatized. Dawa yake unamwacha anajiongelesha mwenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kutokana na comments zake juu yake mimi huwa nahisi anamaanisha kweli kutoka moyoni maana siyo mara moja

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani halafu sijui kwanini hawajawahi kukutana sema hata kwa huyu kashashindwa ila basi tu anaendelea kutunisha misuli
 
Naona wamekomaa tangu Jana Hadi nahisi mishipa imemtoka kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wakija kukutana wale Moto utalipuka.

Lizarazu maneno mengi mno yaani dah...
 
Naona wamekomaa tangu Jana Hadi nahisi mishipa imemtoka kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wakija kukutana wale Moto utalipuka.

Lizarazu maneno mengi mno yaani dah...
Halafu naona kama siku mbili hizi ndiyo kazidi kucharuka aisee
 
Lizarazu punguza bhana kubishana Sana na watoto wa kike.
Hizi ligi na watoto wa kike zinakuharibia CV bhana ..ujue wewe mpwa wa anko magu[emoji12]
Hili nalo tatizo. Kubishana watu wa jinsi mbili haipunguzi heshima upande wowote na ndiyo maana hakuna jukwaa la wanaume peke yao wala wanawake peke yao. Muhimu watu wasivunjiane heshima katika mabishano hayo kwa kujikita kwenye mzizi wa hoja husika bila kutumia ad hominem attacks..
 
Ana maneno makali Sana.
Unaenjoy wanavyoendelea kutupiana maneno hapa?
Sasa nifanyaje ndugu yangu?? Nitamkataza mtu mzima kweli?? Halafu ukizingatia mimi huyo ananichukia hivyo hawezi kunisikiliza!! Muambie wewe tu atakusikiliza!!
 
Tatizo wameanza kuattackiana
 
Sasa nifanyaje ndugu yangu?? Nitamkataza mtu mzima kweli?? Halafu ukizingatia mimi huyo ananichukia hivyo hawezi kunisikiliza!! Muambie wewe tu atakusikiliza!!
Kwahiyo Mimi ndiyo hanichukii??
SI najitoaga tu ufahamu kumwambia...hapa muda wowote kibao kinaweza kugeukia kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
It maybe true kichwani i hav nothing...but I can't argue with you since you call yourself dumbgirl....
 
Let's talk about Jesse Ventura and his conspiracy theories and debate why cannabis should or shouldn't be legalized
I like this concept!
Lets discuss a little bit about the theory of black Hole by Prof Hawking.. do you think is it relevant?.. From Logical reason of your viewpoint.. is it really possible to see great wall of china from Moon/Space keeping in Mind that Great wall of China is two cars wide!

Sincerely Khan
 
Thread ipi tena?
Kuna threads Kama tatu huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moja ilikuwa mke kamfungia mumewe mlango..hataki kufungua kwa sababu alienda mpirani ..akamjibu kwamba aende kulala alikotoka.

Lizarazu anasema the moment mlango utafunguliwa na Yeye kuingia ndani Basi mkewe anatoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anasema Ni Bora ukaachana na mke kuliko kuachana na man u au Liverpool Maana Liverpool haiwezi ikakuacha..mke anaweza kukuacha.
 
Sasa mkuu mbona na kwenye ndoa hamkuwagi hivyo eti?? Mnasemaga eti mwanaume hatakiwi kuongea sana yeye ni kupiga tu??
 
Kwahiyo Mimi ndiyo hanichukii??
SI najitoaga tu ufahamu kumwambia...hapa muda wowote kibao kinaweza kugeukia kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, Lizarazu anapenda wanawake wife material kama wewe siyo sisi.
 
Maneno makali mno haya..punguza hasira mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…