A great picture of Christmass tree in Masjid.

A great picture of Christmass tree in Masjid.

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,337
Reaction score
22,286
46785915_10216806027038392_5624419322341359616_n.jpg
 
Hapo haiwezi kuwa uarabuni ...waarabu hawana roho ya upendo ivo

Hapo ni nchi za magharibi
 
Ukijua utaenda kuutoa alafu mleta habari aonekane muongo


Don't kill the messenger. Unaona ustaadh hapo kwenye picha ni mwaarabu mwenyewe mwenye dini yake katulia, sasa wewe Mngoni wa Nyanda za Juu unataka kuleta kwere 😂😂😂
 
Hii ni middle east ambapo waislam waisrael na wakristu wanaabudu pamoja kwa mida fulani bila shida!!

Sio hapa kila kitu kubaguana!!
 
Duuu wapi hii ? Hao watu wamefikia kiwango cha juu cha civilization
 
Back
Top Bottom