Is that enough scientific justification?Mimi nimewahi kuona tractor linatembea kwa taili tatu.sababu ni kwamba taili za nyuma ni pana.
Hata hiyo mbado kuona?Hilo linawezekana kwa tractor kutembea bila tairi moja la mbele....
Maisha ni kusaidiana....
![]()
Hilo linawezekana kwa tractor kutembea bila tairi moja la mbele....
On the other hand ni kwamba hakuna kisicho na manufaa. Ndio maana siku hizi kuna watu ni matajiri kwa kuuza chuma chakavu na wengine makopo yaokotwayo majalalani.Moral of this photo ni kwamba lazima tujitahidi tuoe wananwake vibonge
Ndio mambo ya sayansi mkuu,linakata vizuri kabisa....tena unalala na mia!!!utakataje kona??