hey good friends how can i get a god girl for married and not for fun! pls help me i'm at hot time
Kweli vinaweza visiwe muhimu mwanzoni lakini mbele ya safari vyaweza kuwa source ya migogoro. Vinatumika kama excuse for certain behaviours.vitu kama dini, kabila, elimu hivyo sio vya muhimu sana kwenye mahusiano
unaposema unamaa Gani? unamaanisha nini? bwa hahahaha mkuu heshima yako!, utani tu! no offence ila hii thread imekaa ki zecomedy dah JF kiboko!unamaa Gani?