A girl For Chartng

sema basi umri chat
Umeona enh?
hiyo miaka huna mme?mana sitaki kuja kufumaniwa mpaka tunapigwa picha live kama mipanya vilivyotegwa,kama huna mme twende tuogelee kwenye raha ya milele
 
unajua umri wa mtu unaezungumza nae ni muhimu sana? Kama ni mtoto tunaongelea shule, carreers, fursa za sponsorships na nyinginezo. Kama ni kijana we can chat kuhusu movies na series, madisko na miziki. Kuna wazee wenzangu tunaongea mpira, mashamba, ujenzi, malezi na ndoa, biashara za hela za fasta fasta kasoro sembe, na fursa za mjini.

kwa hiyo umri wake lazma niujue nisije nikamconfuse zaidi hehehe[/QUOTE]

Nimekupata big gal sasa namie umenipa Nguvu nikupe key id yangu ya umri usije kuniboa, 39 ni umri wangu
 
hiyo miaka huna mme?mana sitaki kuja kufumaniwa mpaka tunapigwa picha live kama mipanya vilivyotegwa,kama huna mme twende tuogelee kwenye raha ya milele

Raha za milele zipi hizo?
 
Hehehe unajificha sana also miaka 39 si ishu kwenye mapenzi mbona ukipandiwa kifuani utalia kama mtoto,fursa zinahusika vipi?kwa umri wako hata movie za gods must be crazy na zinginezo nahisi naweza kukukumbatia tu kifuani tukaenjoy,mpira kama bongo utahadithia ivon mapunda na kipanya malapa,

Nimekupata big gal sasa namie umenipa Nguvu nikupe key id yangu ya umri usije kuniboa, 39 ni umri wangu[/QUOTE]

Hehehe unajificha sana also miaka 39 si ishu kwenye mapenzi mbona ukipandiwa kifuani utalia kama mtoto,fursa zinahusika vipi?kwa umri wako hata movie za gods must be crazy na zinginezo nahisi naweza kukukumbatia tu kifuani tukaenjoy,mpira kama bongo utahadithia ivon mapunda na kipanya malapa,
 
Hahaha

Chart inatia mimba lol

Kuna kabinti fulani hivi mtaani kwetu kalianza haya mambo ya kuchart chart na Sele weeeeh kitumbo ndi! Ndo maana nikisikia mvulana anaomba uhusiano wanauita wa kuchart na bint naonya mapema!
 
Hehehe sasa wewe ni ke ama me? Manake ushaanza kumtisha Excellent. Hebu jidadavue kwanza
Nimekupata big gal sasa namie umenipa Nguvu nikupe key id yangu ya umri usije kuniboa, 39 ni umri wangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…