A girl For Chartng

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Today i feel alittle bored, so if there s any girl bored like me and wants to chart please send me a pm i wl check you. Thanks
 
Hello, tuheshimiane ndugu, the problem n kwamba hayo ndo pekee unayowaza kichwan mwako, sio kila anayeingia hum anatafta gals lol..!!
 
Hehehe anzisha sredi ya kutaka a girl wa kuchat ndo nikuruhusu rasmi.
niruhusu mi naweza ,40 yrs kitu gani

hahaha mi huwa sibreki ze wind hadharani banaa. Ila inabidi nitaje umri manake kuna watu hawataki nijiite gal just becoz i am 40 yrs younger!
Sasa Mbona umeanza kwa kujielezea umriii? Unajua yeye ana miaka mingapi? Tambua tu ikiwa unajamba unaambiwa pole bebz bas jua umri haujalishi,
 
Hehehe anzisha sredi ya kutaka a girl wa kuchat ndo nikuruhusu rasmi.

hahaha mi huwa sibreki ze wind hadharani banaa. Ila inabidi nitaje umri manake kuna watu hawataki nijiite gal just becoz i am 40 yrs younger!
aaah thread hii hii,nianzishe unikimbie?mbona unajifanya umekubali si tuchat PM tupeane namba si ndo mzuku,hhhehehhee
 
hahaha mi huwa sibreki ze wind hadharani banaa. Ila inabidi nitaje umri manake kuna watu hawataki nijiite gal just becoz i am 40 yrs younger![/QUOTE]


Mmmmh ila hio si busara kwani najua litakalo fuata baadae nawewe kutaka kujua umri wa mwenza wako, wengine Kama mie hawapend hizo conversation,Kwan mwenye thread alitaka gal wa kuchat nae haku specify ni wa rika gan......
 
hahaha mi huwa sibreki ze wind hadharani banaa. Ila inabidi nitaje umri manake kuna watu hawataki nijiite gal just becoz i am 40 yrs younger!


Mmmmh ila hio si busara kwani najua litakalo fuata baadae nawewe kutaka kujua umri wa mwenza wako, wengine Kama mie hawapend hizo conversation,Kwan mwenye thread alitaka gal wa kuchat nae haku specify ni wa rika gan......[/QUOTE]
sema basi umri chat chito
 
Mmmmh ila hio si busara kwani najua litakalo fuata baadae nawewe kutaka kujua umri wa mwenza wako, wengine Kama mie hawapend hizo conversation,Kwan mwenye thread alitaka gal wa kuchat nae haku specify ni wa rika gan......
sema basi umri chat
Umeona enh?
 
Kuchat kwa namba tena? Ngoja nikupm namba yangu ila ujue tunashare simu na paw. Siku zongine atakujibu yeye. Afu siku hizi sikimbii nshakuwa mkubwa lol. Mi hapa namuwinda muanzisha sredi.
aaah thread hii hii,nianzishe unikimbie?mbona unajifanya umekubali si tuchat PM tupeane namba si ndo mzuku,hhhehehhee

unajua umri wa mtu unaezungumza nae ni muhimu sana? Kama ni mtoto tunaongelea shule, carreers, fursa za sponsorships na nyinginezo. Kama ni kijana we can chat kuhusu movies na series, madisko na miziki. Kuna wazee wenzangu tunaongea mpira, mashamba, ujenzi, malezi na ndoa, biashara za hela za fasta fasta kasoro sembe, na fursa za mjini.

kwa hiyo umri wake lazma niujue nisije nikamconfuse zaidi hehehe
Mmmmh ila hio si busara kwani najua litakalo fuata baadae nawewe kutaka kujua umri wa mwenza wako, wengine Kama mie hawapend hizo conversation,Kwan mwenye thread alitaka gal wa kuchat nae haku specify ni wa rika gan......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…