A Get Together for Professionals & TPN AGM on Sunday 14th March 2010 At Ubungo Plaza

Asnte Msimbe
Mimi niko Tanga kikazi nawatakieni mkutano mwema naunga mkono yote uliyoyasema tuko pamoja kaka nikirudi nitakuja kukuona.
CHARLES NAZI

Asante sana Mzalendo Babalao.

Endelea na kazi nzuri sana unayoifanya huko Tanga.

Ukirudi tutafutane. Kuna kazi nyingi zimeibuka kupitia mtandao wetu wa TPN. Inabidi ujipange vema na vijana wako.
 
hivyi ni mtu gani anatakiwa ajiunge na TNP elimu gani inatakiwa lugha gani unatakiwa uzifahamu
kwa member anaye jiunga kwa mara ya kwanza anatakiwa awe na nini
nitashukuru ukinifahamisha???
 
Asante Mkuu, ningependa kuhudhuria lakini JP duh! Nitakunywa kweli. kumbuka kesho kazi, kazi zenyewe hizi za Wahindi na Makaburu. Nitapita kidogo
 
Asante Mkuu, ningependa kuhudhuria lakini JP duh! Nitakunywa kweli. kumbuka kesho kazi, kazi zenyewe hizi za Wahindi na Makaburu. Nitapita kidogo

Haaa haaa!

Mzalendo, umenichekesha sana . . . Kumbuka kuna wakati wa kulima na wakati wa kuvuna. Njoo tusugue vichwa tuone tutaisaidiaje nchi . . .
 
Updates:

65 Confirmations
32 Apologies

Join now . . . . current hot discussion going on is how can Professionals Change the cause of our development?
 
Kesho ndiyo siku yenyewe. Unaweza ukaconfirm kupitia barua pepe president@tpn.co.tz au ukatuma SMS kwenda 0754 833 985 huku ukitaja jina lako na barua pepe yako.

Mpaka sasa confirmation ni Wazalendo Wanataaluma 72 na Aplogies 35.
 
Hongereni sana muda huu mimi sintoweza kuja hapo ingawa ni karibu sana na nyumbani nawatakia mkutano mwema hata hivyo mngeboresha website yetu ingepoa poa zaidi kwa sababu maelezo kama haya ylitakiwa kwenye forum yenu kule TPN unavyofanyia hapa si haki kusema za ukweli

Labda kwa sababu wewe ni president hakuna wa kuhoji
 
Shy; asante sana. Ningefurahi sana kama utapata nafasi ya kuja. Kama huwezi kwenye AGM walau kwenye Networking jioni.

Kuhusu tovuti, nikiri tu kuwa Wakandarasi wetu wanatuangusha kwa kiasi fulani kwani speed ya kuboresha imekuwa ni ndogo sana.

Nikuombe tuwasiliane kiofisi kupitia barua pepe yangu kama kuna mtaalamu mzuri unamfahamu kuhusu hili kwa bei ambayo ni affordable.

Asante sana.
 
Hongera mimi sintoweza kuja hapo nitakuwa mbali kidogo kesho lakini nawatakiwa mkutano mwema hata hivyo nakutumia kile nilichotaka kuchangia siku ya kesho kama ningekwepo ni maneno mafupi tu hayo mengine tunaweza kuongea ntakutafuta kuanzia j5 Si unaweza kuja Pale Mayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom