Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
-
- #21
Ahahahaha njoo pm basi unipe ubuyu bossHivi wifi yako unamjua eeh...
Nilikuwa na rafiki wa hivyo bhna sema nitakusimulia siku nyingine
DuHao nilikuwa nao wengi na mmoja hata sasa yupo.
Meona eee all true bro all trueOne time. Sometimes friendship ni nzuri sana kama hamjavuana pichu.
Ahahahaha asante boss kubwaaMi yenyewe Money Penny nashindwaga kukwambia tu [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
Kwakweli hata mimi nataka afungukeKaka funguka basi
Preaaaach Mama sitaaa!Hamna cha kiushikaji bana!!! Mwanaume ukishamvulia nguo kunakua na feelings za ajabu kati tenu!!!
Mwe! We ni Yuda Eskarioti wa kizazi kipya.. ahahaha kidding!Sjawahi kuwa na rafiki wa kike alafu tusikulane hata kwa bahati mbaya
Ehehehhe, swala jike rafiki na simba.. all classic! AhahahaSijawahi kumtamani hata mmoja, nafiri hii ni sababu ya kuwa na maongezi serious tu hata wazo la kusema huyu atanifaa huwa sijawahi liwaza labda kwa upande wao....
Upi maana upo wa zenji..hadi wa oman.Ahahahaha njoo pm basi unipe ubuyu boss
Mara nyingi wanawake ndo hua mnaleta feelings,kwenu sex na love nivitu viwili vinavyoambatana.Binafsi nimeshakua na friends with benefit mara nyingi ni wale wasichana wasiokuwa overly emotional,wana lifestyle ya kisela.Hamna cha kiushikaji bana!!! Mwanaume ukishamvulia nguo kunakua na feelings za ajabu kati tenu!!!
Kweli!! Ikiwa something continuous msichana ataanza umia tu... (Naongea from experience [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] )Mara nyingi wanawake ndo hua mnaleta feelings,kwenu sex na love nivitu viwili vinavyoambatana.Binafsi nimeshakua na friends with benefit mara nyingi ni wale wasichana wasiokuwa overly emotional,wana lifestyle ya kisela.
Ndo haitakiwi iwe continous sasa,unatakiwa upashe kiporo,sasa nyie mlikuwa mnapika chakula kipya cha motoo,lazima unogewe.kisheria inabidi isizidi mara mbili kwa.mwezi alafu mkishamaliza malufuku kutuma text za eti love nimeinjoy sana leo,mara ooh naniliu yako tamu.unatakiwa unamtext we fala umenitia miguu ganzi,au oya mbona umeondoka na ledbluu yangu.Kweli!! Ikiwa something continuous msichana ataanza umia tu... (Naongea from experience [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] )
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]problem ya friendly match zinakuwaga very sweet lkin disadvantage mmoja wenu lazima a catch feelingsUnamuomba cha kiushkaji tu ....friendly match mbona poa .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo haitakiwi iwe continous sasa,unatakiwa upashe kiporo,sasa nyie mlikuwa mnapika chakula kipya cha motoo,lazima unogewe.kisheria inabidi isizidi mara mbili kwa.mwezi alafu mkishamaliza malufuku kutuma text za eti love nimeinjoy sana leo,mara ooh naniliu yako tamu.unatakiwa unamtext we fala umenitia miguu ganzi,au oya mbona umeondoka na ledbluu yangu.
Ivi si ushawahi kuwa na wale marafiki flan ivi amaizing and more than amaizing anaweza akawa wakike au kiume but amaizing kwako, yaani ni mpango mzima kama ni mdada atakuwa kisu balaa kama ni kaka ni handsome, gentlemen and everything in between, and u know! oh you know! deep down inside hamuwezi kuwa wapenzi bora mbakie washkaji tu, yani bora tu muendelee kuwa friends without benefits but friends, lakini unamtamani balaa, yani unatamani awe boy au girl wako!
Me nishawahi kuwa na marafiki kama hao nilitamani tuwe wapenz wa kudumu afu wote wakaoa wake wengine, iyo ilikuwa zamani lkn, sa hivi nikiangalia nyuma nasema asante Mungu, hatukupigana miti au kuwa wapenz... huenda mngeharibu mbovu, maana jinsi mnavyoheshmiana na kuthaminiana sasa hivi, hakuna mfano wake
Je hili lishawahi kukutokea?
Tupe experience yako kidogo basi au bado una regret kumkosa huyo rafiki mkali?
NAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA WAPENDWA!
Mm sijawahiIvi si ushawahi kuwa na wale marafiki flan ivi amaizing and more than amaizing anaweza akawa wakike au kiume but amaizing kwako, yaani ni mpango mzima kama ni mdada atakuwa kisu balaa kama ni kaka ni handsome, gentlemen and everything in between, and u know! oh you know! deep down inside hamuwezi kuwa wapenzi bora mbakie washkaji tu, yani bora tu muendelee kuwa friends without benefits but friends, lakini unamtamani balaa, yani unatamani awe boy au girl wako!
Me nishawahi kuwa na marafiki kama hao nilitamani tuwe wapenz wa kudumu afu wote wakaoa wake wengine, iyo ilikuwa zamani lkn, sa hivi nikiangalia nyuma nasema asante Mungu, hatukupigana miti au kuwa wapenz... huenda mngeharibu mbovu, maana jinsi mnavyoheshmiana na kuthaminiana sasa hivi, hakuna mfano wake
Je hili lishawahi kukutokea?
Tupe experience yako kidogo basi au bado una regret kumkosa huyo rafiki mkali?
NAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA WAPENDWA!
Umeandika kiswahili changanya kingereza changanya lugha ya kibishoo yaani sijui tunaenda wapi...Ivi si ushawahi kuwa na wale marafiki flan ivi amaizing and more than amaizing anaweza akawa wakike au kiume but amaizing kwako, yaani ni mpango mzima kama ni mdada atakuwa kisu balaa kama ni kaka ni handsome, gentlemen and everything in between, and u know! oh you know! deep down inside hamuwezi kuwa wapenzi bora mbakie washkaji tu, yani bora tu muendelee kuwa friends without benefits but friends, lakini unamtamani balaa, yani unatamani awe boy au girl wako!
Me nishawahi kuwa na marafiki kama hao nilitamani tuwe wapenz wa kudumu afu wote wakaoa wake wengine, iyo ilikuwa zamani lkn, sa hivi nikiangalia nyuma nasema asante Mungu, hatukupigana miti au kuwa wapenz... huenda mngeharibu mbovu, maana jinsi mnavyoheshmiana na kuthaminiana sasa hivi, hakuna mfano wake
Je hili lishawahi kukutokea?
Tupe experience yako kidogo basi au bado una regret kumkosa huyo rafiki mkali?
NAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA WAPENDWA!
Kweli kabisa different strokes for different folks,hii wanaweza wenye roho ngumu tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akuu!!! Mambo mengine niwaachiage tu wanaojiweza!
Mimi nikionja nataka nivute na kigoda kabisa nipakuliwe!!!
Huyo hakua mwanachama wa team fisi,nakumbuka mkaka mmoja zamani pale mzumbeni ,mi nilikuaga namuona huyu vip mbona namwonyesha kabisa tafadhari nipigie maskini kumbe mkaka wa watu alikua hana kabisa hisia na mimi hahahaha ...nilikua namtukana sana kimoyo moyo kumbe yeye hana hata moja na mimi yani tulikua karibu zaid ya ukaribu wenyewe.
Nikaja kuelewa kumbe inawezakana tuu
[emoji6] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Mmm sijawahi kwa kweliii labda. Kuna MTU huku jf natamani awe rafiki tuuuu
Hilo linawezekana sana tuu, msimamo ukiwa nao we mwanamke!!! Kwenye hizi shughuli zetu utatoka na Simba wangapi sasa!!!Preaaaach Mama sitaaa!
Mwe! We ni Yuda Eskarioti wa kizazi kipya.. ahahaha kidding!
Ehehehhe, swala jike rafiki na simba.. all classic! Ahahaha