Salam wakuu,
A long friend of mine ambayo hatujaonana longtime amenitumia an email akinielezea swala linalomkabili nikaona nii foward hapa tuweze ona tutamsaidia vipi swahiba kwa ushauri maana nimejaribu kuchukulia kama ndo ingekua mimi ningeact vp nikaona ushauri ntaompa unaweza ukawa na madhara. Email yenyewe ndio hii:
Back in days.......
wakati nAanza chuo mwaka wa kwanza nilipata friend
akaja kua kama ndugu kabisa adi watu they thot
sisi we're bloodly related. Nikaja nikapata girlfriend
flan mzuri sana mcheshi n very bright. Nilimpenda
sana na in my heart nilijua ndiye mke mtarajiwa, I
wanted no1 else. Bas tukawa mapacha wa3, mimi
mshkaj wang na gf wangu, wenevr tulipopita
tulikuwa tunaambatana watatu. Jamaa yangu yeye
yule dzain kwao mambo yalikua poa sana, na
sometimes na most of the times matatizo yangu
madogomadogo financially alikua ananitatulia kama
ndugu yake. Miaka ikaenda, tukamaliza chuo,dzain
tukaingia street kusaka kazi. Sasa mchz mjomba wake
alikua na maconection akamfanyia mchongo jamaa
akapata kazi kwenye kampuni ambayo huyo mjomba wake ana cheo cha juu. Tukabak mi na dm wangu. Sasa mda
ulvopta kidogo nkaanza kunotice jamaa wangu
kama ameanza kubadilika flan akaanza kushow
dharau. Mwanzon nilizani ni mawazo yangu tu
sabab nimepigika ila kuna kipind akaanza kushow
live kabisa. Sasa kuna siku nikakaa na dm wangu
nikaanza kumwelezea jins pacha mwenze2
alivobadilika lakin nilishtka baada ya dm wangu kua
mkali ghafla na kuanza kumtetea mshkaj. Sikutaka
ku argue more, nikaenda kulala. Sasa nikaanza
kunotice changes kwa dm wangu pia, simu za
kupigiwa mara kwa mara nakutoka kuongelea
mbali, na excuses nyingi za kutoonana. Nilijaribu
kuvumilia nikijua labda anana mawenge tu ya
kukosa kazi. Siku kadhaa mbeleni alikuja amefurahi
akasema amepata kazi nkamwuliza wapi akasema
kwenye kampuni ya mjomba wake yule mshkaj wetu ambapo na
mchz ndio amepewa cheo cha assistant finance manager hapo. Nilshtuka sana
japo sikutaka kumwonesha nikijaribu connecting
dots nipate picha kamili. Nikampongeza pale lakin
moyon sikua na amani. One day alikua mshkaj
wang flan anaitwa Van akanichana kwanza
amewaspot dm wang na yule jamaa wang sehem
flan alaf wakiwa katika mikao sio akanambia anahisi
ni wapenzi. Sio siri moyo ulipata mshtuko sana
nikabisha lakini moyoni ni kama nilishajuaga vile.
Baada ya van kuondoka hata sikuweza kull, kiukweli
chozi lilinitoka, sikuamin kama kukosa kitu
kunaweza kuvunja urafiki/undugu na uchumba
uliodumu kwa takribani miaka mitatu. Nilijuta hata
kusoma nikaona elimu ni upuuzi tu, nilijkta npo
kitandani ad asubuh bila kuweza kupata usingizI.
But nilichukua uamuzi wa kukaa kimya tuone
mwisho wake utakuaje. Siku ambayo sitoisahau ni
siku ambayo jamaa alikuja na hy dm wangu ndan
ya range sport yake adi gheto nilopanga.
Walipoingia ndan dm wangu ndo akavunja ukimya
kwa kusema wameamua kuja wenyewe kunipata
ukweli. Nanukuu maneno yake,'Katunzi, to cut the
----, mim saivi niko na eddy coz nimeona mim na
ww hatuna future kabisa na mim naangalia future
yangu. Am sorry sijadhamiria kuumiza lakini let's
face the facts, wewe utanipa nn? Nlichosema baada
ya kumsikiliza ni ok Thanks, I wish u all the best.
Akachkua pale vitu vyake akavikusanya akaniaga
akatangulia mbele kuvipeleka kwenye gari, huku
nyuma eddy alichoweza niambia ni 'no hard
feelings brother K, survival of the fittest. Bas akanipiga
begani akaondoka akawasha gari wakasepa. Kwa
kweli niliumia sana, it was the last time kuwaona
but nimeskia hivi juzi jamaa amemtangazia demu
ndoa demu kakubali. Sasa najiuliza , je ni fanye mipango ya kuharibu harusi isifungwe nikaweke vipingamizi kanisani? Nisahau (japo si rahisi) na kuendelea mbele na maisha yangu au niwafanyie wote uhuni ambao hawatakaa wasahau? I'm in dillema bro.