Duh! mapenzi hayajalish elimu wala umri, huko chuo hukupata rafiki? sekondari je?
Ndg bora tunasaidiana kuwaza.... Kutafuta rafiki kweli?????Kuna wakati huwa nawaza inakuaje mtu mpaka anatafuta marafiki? lakini majibu huwa sipati, ninachoamini moyo wa mtu kichaka una mengi. Kila la kheri utawapata tu.
Ndg bora tunasaidiana kuwaza.... Kutafuta rafiki kweli?????
Binadamu tuna mengi mkuu...... Tumtakie tu kila lenye kheri ndugu yetu apate rafiki.