S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 6,553 Reaction score 7,688 Apr 17, 2026 #41 Detective J said: 2030 haitofika maana hamna kesi pale, mashahidi wamekauka, labda shahid watokee mbinguni safari hii😂 Click to expand... Kwani wakiamua kuendelea kumuweka Lissu ndani hadi maybe 2030 bila kesi kuendelea wanashindwa?
Detective J said: 2030 haitofika maana hamna kesi pale, mashahidi wamekauka, labda shahid watokee mbinguni safari hii😂 Click to expand... Kwani wakiamua kuendelea kumuweka Lissu ndani hadi maybe 2030 bila kesi kuendelea wanashindwa?
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,183 Reaction score 54,373 Apr 17, 2026 #42 StudentTeacher said: Kwani wakiamua kuendelea kumuweka Lissu ndani hadi maybe 2030 bila kesi kuendelea wanashindwa? Click to expand... Pressure ni kubwa sana sahiz, itabidi wajielewe kwa wahisani kwann yupo ndani mpaka muda huo
StudentTeacher said: Kwani wakiamua kuendelea kumuweka Lissu ndani hadi maybe 2030 bila kesi kuendelea wanashindwa? Click to expand... Pressure ni kubwa sana sahiz, itabidi wajielewe kwa wahisani kwann yupo ndani mpaka muda huo