A falling lizard thinks it’s flying until the ground reminds it

Hakuna kitu duniani kinauma kama kumuona inayemuombea mabaya anashamiri (ananawiri) siku baada ya siku. Aisee, kusema ukweli Samia anawatesa watu kisaikolojia Hadi Raha🤣🤣🤣🤣

Sasa hivi wanakuja na uchawi kwa lugha ya Kiingereza 🤣🤣🤣 baada ya kuona mauchawi yao yoooote waliyoyanuia kwa lugha za makabila yao yamedunda mbele Jemedari, Dr Samia Suluhu Hassan 💪💪💪
 
Ningeshangaa kama JK asingetajwa hapa. Huyo mwamba maisha yake yananyooka sababu ya mamia ya Dua mbaya na mamia ya mauongo ya haters wake. Mungu anageuza uadui wa haters wake kuwa Dua njema inayomneemesha.
 
Sawa.
 
Nipo hapa kuwakumbusha!
Lest we forget!
 
Mzee wa morphine
 
Ramli chonganishi hizi

Mjusi, mjusi, mjusi wa nyoko

Ficha upumbavu wako hata mara moja kwa siku.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…