Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,377
- 4,847
Haiti 🇭🇹 kati ya nchi ngumu sana kutawalika, wale kuua waziri mkuu, rais ni kitu cha kawaida sana.
Tatizo lao kuu ni Magenge, Haiti kuna magenge hatari mengi sana tena wanamiliki silaha nzito kuliko hata zile wanazomiliki vyombo vya usalama vya nchi.
Angalau kwa sasa Umoja wa Mataifa umeingilia kati na kutoa usaidi ili nchi iweze kutawalika tena kisheria na kikatiba
Askari Polisi wa majirani zetu Kenya wapo kule kuhakikisha amani inarudi na nchi inatawalika.
Kwanini Haiti walifikia hapa walipo sasa.
Simpo, manyanyaso yalizidi Raia walikua wakitekwa, wakiuliwa mchana kweupe, kwa kifupi HAKI NA AMANI VILIPOTEA.
Yote haya yalitokana na Viongozi wa Serikali kujiingiza kwenye biashara haramu kama vile za madawa ya kulevya, usafirishaji wa binadamu na kujitengeneza magenge ya kuwalinda.
Baadaye Viongozi wamiliki wa magenge walipoteza udhabiti wa magenge hayo na kugeuka kuwa magenge hatari.
Watawala wa Haiti 🇭🇹 walitengeneza magenge hayo kwa kuwatumia vyombo vya usalama wanajeshi na mapolisi walijikuta wakiingia kwenye mitego hiyo.
Magenge yaligeukana na kuanza kuwindana wao kwa wao na kuingiza matatizo mpaka wa raia.
Failed State ni pale Wakuu wa nchi wanapopoteza sauti juu ya vyombo vya usalama.
Vyombo vya usalama huanza kufanya matendo maovu kama vile utekaji, ubakaji, ulawiti ,mauaji na hata kuiba kura.
Na huwezi sikia kiongozi yeyote wa juu akikemea matendo hayo machafu.
Mnaweza kuwa na amani watu nje hawaoni mkipigana, hawaoni mizozo ya kikabila, kidini lakini bado kwa ndani mkawa A FAILED STATE.
Leo Tanganyika watu wanachukuliwa mchana kama kuku na wanaojiita vyombo vya usalama sidhani kama ni vyombo vya usalama kwa style yao ya ukamataji wanatumia mbinu za magenge ya kihalifu.
Swali ni je akija raisi mwingine mpenda haki haya magenge yanayoteka watu kiholela na kuua watu kwenye mabanda ya TV watakua na mwisho gani??
Je Sabaya alikamatwa mwenyewe nope naye alikua na genge lake, wapo viongozi wengi wenye magenge yao ambayo wapo tiyari kufanya chochote kile kumfurahisha bwana mkubwa wao.