K Kyanyundu Member Joined Mar 19, 2012 Posts 22 Reaction score 1 May 9, 2012 #1 Njemba 1 ilikua imelewa, ikawa inatembea road mara ikaona taa 2 mbele, kulia na kushoto, ikasema hawa bodaboda vp; ikasimama katikati ya road; da kushangaa kidogo kumbe ni bonge la fuso limeshika break mbele yake!!
Njemba 1 ilikua imelewa, ikawa inatembea road mara ikaona taa 2 mbele, kulia na kushoto, ikasema hawa bodaboda vp; ikasimama katikati ya road; da kushangaa kidogo kumbe ni bonge la fuso limeshika break mbele yake!!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 May 9, 2012 #2 Vipi ulikuwa umelewa wakati unaandika hii thread