A deep analysis of yanga vs Silver Strikers..

Uchambuzi makini mno
Pamoja sana kocha wa bolu
Unamuonaje
Doumbia
Edmund
Duke
Dube

Hebu tuambie kocha unawaonaje leo?

BTW nakumbuka kiungo chako ulichopanga kwenye uzi ule kuhusu Duke na muda ila bahati mbaya muda hakumaliza mechi maoema tu alitoka
 
Edmund ni mali kubwa sana kuliko wachezaj wote wa wanaocheza mbele wa kitanzania ukitoa muda na mzize

Akipata muda na akifundwa vzur atakua hatar
 
Pamoja sana kocha wa bolu
Unamuonaje
Doumbia
Edmund
Duke
Dube

Hebu tuambie kocha unawaonaje leo?

BTW nakumbuka kiungo chako ulichopanga kwenye uzi ule kuhusu Duke na muda ila bahati mbaya muda hakumaliza mechi maoema tu alitoka
Doumbia ni mchezaji mzuri ila anakosa vitu vingi
Hana fitness
Yuko slow
Sio mzuri kwenye ku score kama Aziz ki
Kwangu Mimi huyu hawezi kuanza kwenye kikosi changu

Edmund John
Ana talent kubwa mno
Ni mdogo na anaendelea kukua na atakuwa mchezaji tishio

Duke
Ni.mchezaji ana talent kubwa kubwa
Kwangu Mimi Leo ndo man of the match

Dube
Ni mchezaji mzuri mno kimbinu
Japo sio goal getter mzuri.
Japo hao akina na Doumbia wanamwangusha hawafiki kwenye mashimo mapema
 
Kocha hujawahi kumpenda Doumbia na wenzake kina Kouma😂

But to be honest mpira wa Doumbia ni mzuri ana pumzi ndogo na fitness hili tumeliona sana that's huwa hawamchezeshi mechi nzima ila atakaa sawa tu.

Edmund ni mzuri sana ila ana papara sana
 
Yah Doumbia ni mzuri lakini anacheza mbali sana na goli mipira inadondoka inakuta wachezaji wachache
Natamani coach huyu amchezeshe Ecua kutanua mapana ya uwanja
 
Ni sahihi kwa wachezaji wote hapo hapo kwa Dube umeeleza kwa jicho la kiufundi zaidi.

Jamaa anajua kuvheza kwa nafasi na anajua kucheza nyuma ya mabeki. Ni mzuri kwa kuifungua beki ya timu pinzani pia.
 
Yanga wakikutana na timu inayoweza ku intercept zile pasi za mipenyezo kama hawa wamalawi inabidi wabadilishe mbinu, either kuipitisha kwa mawinga au kupiga nje ya box. Walijaribu pia kupitisha kwa mawinga ila zile V Pass zilikuwa zinakuwa intercepted pia.

Labda ni kwa kuwa kwa upande wa strikers bado tunasua sua. Mzize apone haraka.
 
Ni sahihi kwa wachezaji wote hapo hapo kwa Dube umeeleza kwa jicho la kiufundi zaidi.

Jamaa anajua kuvheza kwa nafasi na anajua kucheza nyuma ya mabeki. Ni mzuri kwa kuifungua beki ya timu pinzani pia.
Ni mzuri mno kimbinu magoli mengi Kwa Sasa yanafungwa na Viungo na mawinga
Top score England ni Mo Salah sio namba 9
Spain ni Mbape sio namba 9
Top scorer France ni Greenwood sio namba 9
 
Nimekuelewa vizuri sana Its Pancho! Analysis nzuri ingawa makolo watapinga na watasema SS wamenyimwa goli lao sijui wewe ulionaje hapo?
 
Nimekuelewa vizuri sana Its Pancho! Analysis nzuri ingawa makolo watapinga na watasema SS wamenyimwa goli lao sijui wewe ulionaje hapo?
Mkuu
Kwa muktadha wa kawaida juu juu unaweza sema goli kweli

Ila naona pale diara alifanya ujanja kutoka na kumgusa kidogo yupe mchezaji wa SS
Na tukumbuke sheria zinawabeba sana makipa.contact yoyote ile kwa kipa inahesabika foul!

Pale ikaonekana diara alifanyiwa foul na yule mchezaji ili ashindwe kuufata mpira

Magoli kama yale yameshakataliwa sana mkuu
Sheria zinawalinda sana makipa sikuhizi.
 
Mkuu
Kwa muktadha wa kawaida juu juu unaweza sema goli kweli

Ila naona pale diara alifanya ujanja kutoka na kumgusa kidogo yupe mchezaji wa SS.

Kwa kauli hii maanake Diara ndio kacheza faulo?
 
Kwa kauli hii maanake Diara ndio kacheza faulo?
Kwenye box la kipa wewe ndio unakuwa umemgusa hata kama aliruka mkagongana juu wewe ndio unakuwa umemgusa

Kwenye box kipa ndio boss na ndio eneo lake la kujidai
Nadhani unajua hili kipa anaruka unakuta anaukosa mpira ila anagongana juu na mchezaji hapo wewe ndio unakuwa umefanya foul

Sheria za sasa kipa analindwa sana magoli kama lile yanakataliwa sana nowdays
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…