beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Zubedayo yu wapi?All the best jaman mbona mambo mazuri
siku mkiachana njooni mseme reverse ya haya hapa hapa jamvini,chezea mapenzi ya jf,kama mnabisha muulizeni The Finest.
siku mkiachana njooni mseme reverse ya haya hapa hapa jamvini,chezea mapenzi ya jf,kama mnabisha muulizeni The Finest.
Shem la ukweh...
hakunaga mapenzi yalikuwepo hapo kale
Nani aliyekudanganya?haya uyasemayo? Absolutely currentyly decades love concern from one person to another are became so expanded ! Sitanii ujue ?
hebu niunge wng we sasa hivi mtandao wako unafikia wapi?Nasita kukuunga mkono hapo....
Wifi mi mzima jana nilichoka mnooo dats why sikuweza kukujibu on time by the way si unajua kaka mentor karudiiShem na wifi hbr za uzima wenu?
Wa airtel au zantel au tigo na voda. Si tupo bana kwenye kampen ya tuko wangapi tulizana soo sema chingne halaf vp kwan mbona unasononeka saanahebu niunge wng we sasa hivi mtandao wako unafikia wapi?
Nasita kukuunga mkono hapo....