TBC nayo hebu ijitahidi kwa kweli. Dk Ayoub namwaini sana fanya kazi ili iwe the Best TV in Tanzania. Anza na muonekano wake usipitwe hata na tv ngeni kabisa jamani mfano kuna Tv ngeni Zanzibar inaitwa sijui TIFU! Niiangalia nikasema hii inaonekana vizuri kuliko TV yetu ya Taifa hapana hii haikubaliki Wake up Dr. Nina amini unapitia pitia mitandao!