A black day! Ajali ajali ajali

A black day! Ajali ajali ajali

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,146
Reaction score
829,046
Happy Nation ya Mbeya Mikumi 1428581992246.jpg
Racto, Ngorika na gari dogo Msata 1428582050310.jpg 1428582071895.jpg 1428582100196.jpg
Ukisafiri ukafika salama mshukuru Mungu
 
Waliofikwa na umauti poleni.
Ila Happy Nation huwa ni basi ninalojua lina mwendo kasi sana, cha ajabu ndio usafiri pekee ninaoupenda nikisafiri kwenda Mbeya.
 
Nasikia ipo pia ya Luwinzo na lori la Azam... Japo sina hakika

Mghosi
 
nahisi ni black year na kesho tumeambiwa kuna kizazazaa
 
Ni siku moja kabla ya mgomo wenye utata wa madereva kesho! Je kuna hujuma?
 
Ipo ajali pia ya Bus la Kilimanjaro Express likitoka Arusha kuja Dar likachomekewa na Lorry leo hii hii.
 
Kama ni spidi ya ibilisi basi imevuka mpaka.poleni nyote mliofikwa na majanga hayo
 
bila kusahau gomz asubuhi ya leo majeruhi wa3
ze daladala
 
Taarifa ya habari ITV; waliokufa ni abiria saba akiwemo dereva wa Ngorika, na abiria 3 waliokuwemo kwenye gari ndogo pamoja na dereva, kwenye Ratco ni majeruhi tu japo dereva kakatika miguu yote miwili
 
Kwa mara ya kwanza ndio napata kuona hao vichaa wa Happy Nation wamepata ajali...
 
...kwenye Ratco ni majeruhi tu japo dereva kakatika miguu yote miwili

Mbona nduguye katika uzi wa ajali kaandika ni mguu mmoja uliokatwa...isipokuwa mwingine umevunjika
 
Back
Top Bottom