Nimequote kwenye taarifa ya habari ITV, kwahiyo ndugu yake anaweza kuwa sahihi zaidi
Kwa kweli nimesikitishwa sana na ajali zilizotokea,
Otherwise, mshana jr umenitatiza, why call it a BLACK day?, kwa nini utumie rangi nyeusi kama kiashirio cha mabaya?
Nimequote kwenye taarifa ya habari ITV, kwahiyo ndugu yake anaweza kuwa sahihi zaidi
Mungu wangu...! Hujafa hujaumbika
Poleni sana ndugu wote mliopatwa na janga hili baya
Huu ni utamaduni ambao waafrika tunatakiwa kuupiga vita, black is the colour of our skin, why use it to symbolize calamities?Ukipata taarifa za ajali zote zilizotokea Leo, utajua ni kwanini, tangu kunapambazuka ni ajali tu leo
BTW hata misibani tunatumia nguo nyeusi kuonyesha huzuni na majonzi yetu, hapo sikuwa na maana ya mabaya bali huzuni na majonzi