ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkubwa.
Kwa hiyo shem wako kakutega ukaingia kingi mzee.
Vipi story za mkeo huyo shemejio alivyokuelezea alikuwa chama la wana au nyatu nyatu?.
Alitoa mimba tatu za jamaa watatu tofauti tena ninao wafahamu[emoji24][emoji24][emoji24]Pole mkubwa.
Kwa hiyo shem wako kakutega ukaingia kingi mzee.
Vipi story za mkeo huyo shemejio alivyokuelezea alikuwa chama la wana au nyatu nyatu?.
Sijafundishwa na yeyote mkuu, nimeupokea ushauri wako wa kuacha zinaaAliyekufundisha Statistics, Research and Investigation alikukosea sana. Anyweiz, acha zinaa.
Ingekuwa wote ningesema 100%, ushauri wako nimeupokeaJe wewe umetembea na mashemeji zako wote au umeshuhudia mashemeji wakifanya hivyo?
Chàmsingi na chasekondari Tulia na mkeo.
Ishi katika hali ya amani, furaha,ushirikiano
USICHEPUKE!!! narudia tena USICHEPUKE maana utakapo mgonga shemeji yako ni sawa na kuchepuka na pia unakua hujitambui.
ACHA TAMAA umbo hata mke wako analo, maumbile hata mke wako anayo, hata chumvini mke wako anako
TULIA NA MKEO!!! ACHANA NA MASHEMEJI UNAHARIBU NDOA YAKO MWENYEWE
Sina shaka wewe ni mtu wa MtwaraAlichoumba Mungu cha kumemena
Nalog off
"My shemela chai tayari" Ukiona ujumbe huu ujue tayari anataka umpe vya dada yake, mabinti noma sanaTena hawa mabinti ndio hatari wanatutega mashemeji
Mimi wadogo zangu wa kiume na makaka, hata kuwa na namba ya simu ya shemeji yao marufuku.Kama unaishi na mdogo wako wa kike au wa kiume nyumbani kwako kuwa makini sana naye, usimuamini kwa 100% siku hizi kutembea na mashemeji imekuwa kama fashion
Tena hawa mabinti ndio hatari wanatutega mashemeji zao mpaka tunajikuta tunaingia kwenye mtego bila kutarajia, halafu mkishagongana mara kadhaa anaanza kutoa siri zote za dada yake maisha ya nyuma kabla hujamuoa.
Ukicheche wa dada yake nk,mdogo wako muone kama sumu ya panya weka mbali na watoto (mumeo/mkeo)
aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama unaishi na mdogo wako wa kike au wa kiume nyumbani kwako kuwa makini sana naye, usimuamini kwa 100% siku hizi kutembea na mashemeji imekuwa kama fashion
Tena hawa mabinti ndio hatari wanatutega mashemeji zao mpaka tunajikuta tunaingia kwenye mtego bila kutarajia, halafu mkishagongana mara kadhaa anaanza kutoa siri zote za dada yake maisha ya nyuma kabla hujamuoa.
Ukicheche wa dada yake nk,mdogo wako muone kama sumu ya panya weka mbali na watoto (mumeo/mkeo)
Kama unaishi na mdogo wako wa kike au wa kiume nyumbani kwako kuwa makini sana naye, usimuamini kwa 100% siku hizi kutembea na mashemeji imekuwa kama fashion