Sustainable strikes and demonstration katika nchi za third world countries ni ngumu sana kwa sababu raia wengi hawawezi ku-survive kwa siku zaidi ya tatu bila kutoka nje kuenda kutafuta daily bread tuna "hand to mouth economy"
Madikiteta wengi wa Africa wemesurvive kwa mbinu hizo za kufungia watu ndani
Madamano yoyote yakizidi siku ya tatu lazima uporaji wa chakula dawa nk lazima utokee tu, sio kwa nia mbaya ila kwa kusurvive.
Just imagining unatangaza total lockdown kuanzia tarehe 7, 8, kufika tarehe 10 lugha itakua imebadilika "tunaomba tufunguliwe tununue vyakula vya watoto jamani".....
Je wewe plan "B" yako ni ipo kama linatokea hilo la kutokea?