Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 127
tetesi zinasema haya masafa ni kwa ajili ya redio mpya ambayo lady JayDee na mume wake Gardner wameanzisha.
Kwa sasa ipo hewani inapiga muziki masaa 24
Gardner ni nani? Mwanasiasa ??
Wailete na Arusha..
Ni Rubani wa Air Tanzania....
Kwa nini iwe binti machozi, asiwe brother Gardner? Una uhakika gani kama imetafutwa kwa nguvu za Jaydee?Huyu binti Machozi ni mtafutaji sana wala sishangai yeye kumiliki Radio station!!
Nadhani huo ni mwanzo tu,.
alisha acha huko anaendesha trein ya TAZARA...Ni Rubani wa Air Tanzania....
alisha acha huko anaendesha trein ya TAZARA...
Sio kweli kwa sasa anaendesha basi la UDA lile kubwa!
Ni Rubani wa Air Tanzania....
alisha acha huko anaendesha trein ya TAZARA...
Matukutukutetesi zinasema haya masafa ni kwa ajili ya redio mpya ambayo lady JayDee na mume wake Gardner wameanzisha.
Kwa sasa ipo hewani inapiga muziki masaa 24
gardner ni nani? Mwanasiasa ??