90's Jamz

90's Jamz

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,199
Hapa ni strictly jamz za btn 1991- 1999


 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaweza post ngoma zilizotamba ktk clubs zetu hapa tanzania? Tafadhari 1990 -1992. Siyo hizi zilizotamba nchi za magharibi bali zile madj wetu walizokuwa wanapiga clubs bila kujali zipo ktk chart au la...
 
Daaaaah….. Wakina mark morris…… shaba ranks…. Duuuu ni nouma sna
 
Mkuu HNIC umenikumbusha mbali sana,nakumbuka nikiwa kanda ya Ziwa High school moja tunashika matangazo ya FM kupitia radio za Uganda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom