Habari za wazi ni kwamba 90 % walio chaguliwa kuwa wa NEC wa CCM walitoa rushwa.Kwa tukio la juzi Membe kukodi ndege kwenda Mwanza kutoa 40mn kwenye kila kikundi cha kihuni kule Mwanza kinanifanya niulize kama hakupata u NEC kwa pesa chafu.Jamani wana JF msaada wenu ili tumjue Membe ambayo ni dear na chaguo la Mfalme kwenye Urais Tanzania 2015